kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,100
Hakuna cha mbwembwe wala nn wimbo mbovu full stop sababu zingne hazitaubadirisha wimbo kuwa mzuriKitu kimoja nilichogundua kuhusu mziki wa bongo hususani kwa mashabiki wa diamond na ally kiba ni kutegema anachofanya huyu na mwingine afanye hivyo hivyo.
Wengi nadhani walitarajia mbwembwe nyingi na nyimbo yenye tempo kubwa kwenye nyimbo hii mpya ya alikiba
This is good music simply bcoz unachezeka na hauna zile mbwembwe zetu za kusifia mwanamke.
Sio lazima wote tusifie mwanamke
Usiwekee mategemeo kwa kitu ambacho sio cha kwako
By
Classic
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app