Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Kikweli mwacheni alikiba aitwe alikiba jamaa kweli habahatishi kama dimond nimeisikiliza ngoma ni kali mnoo
Wanaopinga wacha wapinge tu maana hata AJE walimpinga hivi hivi wakati anatoka ila baadae ikawa aibu

SEDUCE ME ni bonge la ngoma kimataifa itafanya poa sana na nyumbani pia itafanya poa sana
 
Nyimbo nzuri sana sema nyie wengine na team zenu lazima mkandie tu toka lini shabiki wa yanga akaisifia simba tusiokuwa na team tunajionea sawa tu narudia tena na video ni
 
Tatizo ni tafsiri za watu, mnajiumiza sana kuunganisha dots zisizo na logic, hata angepost yuko toilet mngetafsiri kivyenu!
Mwisho wa siku songi la Kiba ni baya, namshauri atoe remix yake na aipake rangi angalau.
nimevumilia kusikiliza kwa dakika moja nkaona kelele. huwezi linganisha kwa mara ya kwanza nasikiliza ngoma ya Diamond ya eneka. kiba ajipange
 
Back
Top Bottom