Offer ya Weekend

Offer ya Weekend

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,830
Reaction score
12,314
Nitakua maeneo ya Caribean bar - bungeni Dodoma kesho kuanzia saa 9.

Ukijitambulisha umeona tangazo hili hapa JF, utapata nusu kilo bureeee! kitimoto.jpg

Nyote mnakaribishwa.
 
Wewe!, hivi unajua leo ni ijumaa na wezio twajiandaa kwenda swala ya ijumaa?!, unaona sasa, umeshaniharibia udhu wangu inabidi nikatawadhe upya.
 
Vipi ukipishana la lori la bia aka kilimanjaro lager au ukaona bango la konyagi, utarudi kutawadha?
 
asante kwa ofa kakajambazi. shida yangu ni hapo kwenye kujisachi, hiyo nusu kilo si unitumie kama parcel?nitaichukulia kituo cha polisi railway
Nitakua maeneo ya Caribean bar - bungeni Dodoma kesho kuanzia saa 9.

Ukijitambulisha umeona tangazo hili hapa JF, utapata nusu kilo bureeee!View attachment 38528

Nyote mnakaribishwa.
 
Back
Top Bottom