Odemba hayuko analytical kama Khalifa wa The Chanzo

Kijani mnapenda watu wajinga wajinga, machawa, wasiojielewa.

Mtu smart lazima muanze kumletea propanga za kitoto.
 
Akiuliza maswali unayotaka aulize utamsaidia kusomesha watoto wake ikiwa atapotea?
 

Sahihi kabisa.

Maswali ya Polepole. Si siku moja amuite mama yake Polepole au ndugu yake yeyote. Lazima watamjibu baadhi ya ishu na namna walivyofuatilia na wapi wamekwama.

Maswali ya Nchimbi halikadhalika.

Mtu kuwa Kiongozi wa CCM haimaanishi ajue wanaccm wako wapi. Hayo ni maswali ambayo mtu kuyakimbia ni rahisi
 
Odemba ni mwandishi overrated sana, huwa anauliza maswali kwa mbwembwe tu ila hawezi kufanya critique

Niliwahi kusema mahali kwamba hata yule Charles wa wasafi ukimuweka na Odemba, Charles yuko vizuri zaidi kwenye kuuliza maswali kuliko Odemba

Kinachombeba Odemba ni ule "ung'ang'anizi" wake wa swali kwa mtu anaye hojiwa lakini bado anatakiwa kujinoa zaidi
 
Ingekuwa jambo la mbolea kama ungeweka hiyo comparison ili sote tuone tofauti kati yao.

Maana wote wafanya zote critical analytical approach kwa waulizwa masuali.

Na moja ya lengo la analytical approach ni kumweka karibu muulizwa masuali ili ajibu ama kwa kufahamu au kwa kutokufahamu.

Interview angefanya na babu Wasira na Makonda kama wangekuwa ni makatibu wenezi pengine wasingefika mbali na hivyohivyo kwa Khalifa.

Kumbuka lengo la Odemba si yeye kujinufaisha na interview ile bali ni kukupa weye mtazamaji mwanga na nafasi ya kumwelewa uzuri bwana Kihongosi ana msimamo gani kama yeye binafsi au kama kada wa CCM.

Kwa sie wengine ni rahisi kuona kwamba Kihongosi hakutaka kujibu masuali wala kukiri kwamba hotuba alozitoa nyuma zilikuwa ni 'misleading information'
 
Odemba anavyochukuliwa na wabongo ni kama Millard Ayo.
Wote wanalewa hype kupita uwezo wao wa kufunguka ulivyo. Odemba anaweza kuuliza zaidi ya hivi, Millard anaweza ripoti taarifa za kisiasa na ,a kulenga jamii. Ila hawafanyi hivyo sio kwa bahati mbaya.

Nchi raia hata kumtafuta Makamu wenu hamuwezi, kumtafuta Balozi hamuwezi, kumtoa jela kiongozi wa ngome ya upinzani hamuwezi ndio mnataka watu wajilipue.
 
Khalifa yule anafanya kwanza utafiti kabla ya kukuhoji,mwingine ni yule Charles wa Wasafi yuko poa. Odemba ni kupayuka na kudandia kabla mtu hajamaliza but kutokana na sauti yake akiboresha vitu vichache tu hatoshikika.
Hakuna la maana analofanya.
 
Tumia akili yako kuona tofauti walizonazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…