Naheshimu mawazo yako lakini ukweli ni kwamba wazungu ndio wanaofanya Obama aonekane hafai. Angalia Republicans wanavyowaponda weusi na sera zao za kibaguzi. Wakati mgumu Obama lazima awe nao kwani wazungu wengi hawajakubali bado kuongozwa na mtu mweusi. Watch MSNBC utajua zaidi na si FOX News au CNN mkuu. Kuna mengi ya kupingana katika vyombo vya habari. Swala la Gaddafi hata angekuwa nani rais wa Marekani lingetokea tu. Western countries walishamwona ni tishio kwao na Africa kwa ujumla. Tusilaumu Marekani peke yake kuna nchi nyingi sana ziko nyuma ya hili jambo Europe,N.America,Middle East, Asia na hata Africa yenyewe. People lets be fair sio kuangalia upande mmoja wa shillingi