Obama...Sasa hii Too Much!!

Obama...Sasa hii Too Much!!

Obama amejazia hapo mbele !!!!!! Nitafakari ni kubwa kiasi gani lol


Looh! nivea umenichekesha kweli kumoyo yaani umetafakari ukubwa wa manual gear ya mtu...jamani huo mkao mmmh!! mwafrika haachi asili!!
 
Is it real too much;in accordance to whose culture? Kama ingekuwa hivyo kuna watu wangetuambia kuwa jinsi tunavyosalimiana ni too much? Fikiria hapa!
"Hamjambo huko, mama, baba, watoto, na shangazi anaendeleaje, ehee kweli wale jirani yako niliwaacha wanaumwa vipi siku hizi; Hivi watoto wa marehemu mzee XXX aliyekusimamia harusi yako nasikia wamehama..... ."
 
Hivi nyie watoto huu utandawazi mbona umeanza kuwaharibu?! Hakuna mambo mengine ya kuongea kweli?

acha dharau na kelele zako we mzee..si ungepita hii thread bila kuchangia,kwani umelazimishwa kuichangia? Hebu pisha kule.
 
b19175f685aa36f549208ead291bf4e5.jpg
Corbis-0000369423-004.jpg
Malaria-Awareness-Day.jpg
29.1n010.Ann3.c--300x300.jpg
2012-10-17T031207Z_2141517379_GM1E8AH0V1V01_RTRMADP_3_USA-CAMPAIGN.JPG
gore_al_tipper_kiss.jpg
photo_1352285400348-5-0.jpg
 
Thubutu,wanaanzia wapi na mlolongo wa masmell house,moyo tu unatosha kukusuta.


He loves his wife.
wabongo wengi hatuwezi kufanya hii kitu na wake zetu in public kama huyu prezidaa.
 
aiseeeeeee babaangu sijawai kumuona baba rizi akifanya ivyo kwa mkewe adharani
 
Bila samahani mkuu. Tugange yajayo!!

Asante kwa msamaha wako mamangu. Baada ya kuona umenisamehe labda nifafanue tu kidogo kukutaarifu kuwa nimeishi Amerika kwa jumla ya miaka kama minne hivi. Wakati wa Orientation ya Chuo Kikuu tulipelekwa kwenye Swimming Pool ya Mkuu wa Chuo nyumbani kwake. Nilipata shida sana na utamaduni wa wale watu. Tusichana tudogo kama wewe hivi nusu uchi kwenye swimming pool. We mastimu ya Mwafrika unayajua lakini? Sasa uniambie inakuwaje hapo kama tukiamua tunaiga kila kitu. Hizo Swimming pool hapa Bongo zitakuwa salama kweli? Kwenye foleni za kulipia umeme tu watu wahashindwa kuvumilia.

Belinda mdogo wangu; au pengine mwanangu tamaduni zinajengwa kutegemea mazingira ya watu wanaounda tamaduni husika. Maumbile, mazingira na sirka ya Mwafrika vinakataza kuiga kila kitu wanafanya wazungu. Mengine tuwaachiage tu wenyewe.

Wakati nikiwa na umri mdogo wasichana walikuwa na namna yao ya kukuambia mtoto wa kiume wanakupenda--kama kukubali kukumbatiana upenuni mwa jengo au kwenye kichaka cha michongoma ambako hakuna mtu anaona. Ilikuwa nyie wawili tu ndo mnajua mnapendana sana. Mama alimpa lip kis mtoto wake. Sikumbuki lip kiss kwa mume hadharani. Hilo lilikuwa na tatizo gani Belinda. Na ndoa za wakati ule zilidumu sana. Huko Amerika miaka ya 80 takwimu zilikuwa zinaonesha zaidi ya nusu ya ndoa zote ambazo zinafungwa huvunjika katika miaka miaka miwili.

Si kila utamaduni unafaa kuigwa!
 
Hivi nyie watoto huu utandawazi mbona umeanza kuwaharibu?! Hakuna mambo mengine ya kuongea kweli?

kwani hiyo picha iliwekwa hapo ili tuipake rangi si ili tuidadavue?kha maneno yamekushinda pita hiyo ndio khabari ya mujini sasa
 
Back
Top Bottom