Obama azidi kuibomoa USA!

Obama azidi kuibomoa USA!

Hivi mnaielewa Marekani au mbaisoma mgazetini tu?

Mtu anaweza kupiga kelele kuhusu Marekani wakati hata historia na misingi yake haijui.

Halafu anataka kumuongelea Obama.

Ni sawa na ntu atake kuielezea biblia nzima kwa kusoma nukta moja.
 
Hata wewe hausemi UKWELI, USA ilikuwa na Taifa la Kikristo tangu kuanzishwa kwake, kama unasema USA haijawahi kuwa Taifa la Kikristo basi labda hauelewi vizuri Historia ya Taifa hilo, kabla sijaenda mbali labda nikuulize ni kwa nini noti ya USA imeandikwa ,,In God we Trust"? Na kama unasema USA haijawahi kuwa Taifa la kidini ni kwa nini hawajawahi kupinga noti yao kuandika In God we Trust?

Halafu huu hapa chini ni Ubeti wa 4. wa Wimbo wa Taifa wa USA , hayo maneno yalitoka wapi kama USA siyo Taifa la Kikristo? Ni kwa nini hawajaupinga?

O! thus be it ever,
when freemen shall stand
Between their loved home
and the war’s desolation.
Blest with vict’ry and peace,
may the Heav’n rescued land

Praise the Power that hath made
and preserved us a nation!

Then conquer we must,
when our cause it is just,
And this be our motto:
In God is our trust;“

And the star-spangled banner
in triumph shall wave
O’er the land of the free
and the home of the brave​

Kwani GOG ni wa Christians tu? Kusema in God we trust hakuna maana ndio ukristo. Hata watu wa imani zingine wanaweza kisema hivo kama sisi tunavyosema MUNGU IBARIKI TANZANIA.....hakumaanishi kuwa nchi yetu ina dini
 
Soma na kuelewa kwanza kilichoandikwa ndiyo ujibu, huyo mwana JF alisema kwamba USA haijawahi kuwa nchi ya kidini tangu kuanzishwa kwake na akaenda mbali kusema kwamba hata waanzilishi wa USA hawakuwa na Dini, na ndiyo nikamuuliza hayo maswali kwamba kama USA siyo nchi ya kidini kwa nini fedha yao imeandikwa maneno kama in God we trust?, au maraisi wakiapa wanasema so help God, hata wimbo wao wa Taifa unamtaja Mungu?
 
tambua kuna Gods wengi
 
Sasa unalalamika nini???
Hao watu wako tayari kwenda kupigana na kufa
ajili ya nchi yao shida iko wapi?? Kwakweli anaetaka kwenda
kufa vitani mi na muona shujaa maana binafsi siwezi.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Soma na kuelewa kwanza kilichoandikwa ndiyo ujibu, huyo mwana JF alisema kwamba USA haijawahi kuwa nchi ya kidini tangu kuanzishwa kwake na akaenda mbali kusema kwamba hata waanzilishi wa USA hawakuwa na Dini, na ndiyo nikamuuliza hayo maswali kwamba kama USA siyo nchi ya kidini kwa nini fedha yao imeandikwa maneno kama in God we trust?, au maraisi wakiapa wanasema so help God, hata wimbo wao wa Taifa unamtaja Mungu?

Fast track to Tanzania. Viongozi wake hawaapi kwa kumtaja mungu? Je hilo linatosha kusema ni nchi ya kikristo?

BTW ili nchi iwe ya kidini mtawala/watawala wake shurti watokane na taadisi/mfumo wa kidini kama Vatican na Iran
 
America was built on Christian values, but itself is a secular state.
Many countries in the world are built on the foundation of Christian values but they practice secularism.
The main point is that Obama is deliberately vitiating the sacred values which made America the greatest country on the planet. History tells us all empires collapsed when they give a cold shoulder to the golden values that made them great.
It started from the Babylonians to the British Empire.
 
Ndugu muogope sana shoga kwa Kuwa Ni kumbe kisichokuwa na maana we jitu dume zima linakubali kupumuliwa mgongoni! Ujue Kuua Ni kitu cha kawaida sana.
Mashoga hawana mkole usiwadhau.
Nawachukia sana
Nalog off
 
Ukichanganya na alivyomuua Gaddafi, ndio nazidi kumchoka!

Obama aliwahi kikukiri kwamba katka maisha yake aliwahi kutumia madawa ya kulevya, lakini mimi binafsi huwa na wasi wasi kuhusu sexual oriatation yake - siku za nyuma suala hili liliwahi kuwa raised na baadhi ya raia wa Taifa hilo - alafu likapotea kiaina!

Kwa nini yeye anakuwaga overly sympathetic na kundi ya LGBT kuliko Marais wote walio mtangulia, kuna nini nyuma ya pazia.
 
Tushawazoea hao hata Prime minister wa Luxembourg ni shoga.
 
Back
Top Bottom