Obama azidi kuibomoa USA!

Obama azidi kuibomoa USA!

Hauwezi kumtenganisha Obama na Mashoga na transgender, kwa maana kila siku analiongelea hili, hakuna raisi wa USA aliyewahi kuongelea mambo ya Ushoga kama Obama, Obama ndiye Raisi wa kwanza wa USA aliye tamka rasmi kwamba USA is no longer a christian nation!

Haya mambo yameanza zamani yalikuwepo Dunia nzima kama yalivyo mambo mengi tu lkn yamepata sauti baada ya Obama kuingia kwa maana yeye mwenyewe Obama ni muumini wa Ushoga, hilo liko wazi!
Ni kama hapa kwetu tu, mashoga wapo lkn wapo chini chini lkn siku Raisi akija na kusema wazi wazi kwamba wana haki sawa na ni sehemu ya jamii yetu na watoto shuleni wafundishwe kuhusu ushoga utaona jinsi utakavyoibuka!
Actually Obama yupo right kabisa ! USA is not a Christian nation ! Hata founding fathers wa america waliweka wazi hilo... Na karibu wote walikuwa atheists (wasiokubaliana na uwepo wa Mungu).. Its just politics ndio iliyoifanya marekani kuwa hivi leo... Kwa mfano kutokana na mambo ya dini kuwaingia wamarekani leo hii creationism inafundishwa kwenye mashule ya serikali badala ya evolution ambao ndo msingi wa biology.. ! Hata ukiangalia upeo wa wamarekani wengi kwenye majimbo ya Texas, North Carolina etc. Ambako dini ya kikristo imeshika mizizi kiasi kwamba masomo hayawezi kuanza mpaka wasali mambo mengi hawayafahamu !
Mfano mzuri ni fox news network inatangaza kujitoa kwa UK umoja wa mataifa badala ya EU !… its sad sema hayo yoote mleta mada ameliona la ushoga !

Na Obama haaamini wala sio muumini wa ushoga... Its just anajaribu kuwaonyesha the rest of the world kuwa binadamu wote ni sawa regardless of your religion, sexuality or nationality na ndo maana siku amekuja Kenya aliliweka wazi na akatoa hoja zake anazoziamini na wakati huo huo Kenyatta nae alitoa hoja zake na kila mmoja alikuwa yupo right kwa upande wake !
 
Hata wewe hausemi UKWELI, USA ilikuwa na Taifa la Kikristo tangu kuanzishwa kwake, kama unasema USA haijawahi kuwa Taifa la Kikristo basi labda hauelewi vizuri Historia ya Taifa hilo, kabla sijaenda mbali labda nikuulize ni kwa nini noti ya USA imeandikwa ,,In God we Trust"? Na kama unasema USA haijawahi kuwa Taifa la kidini ni kwa nini hawajawahi kupinga noti yao kuandika In God we Trust?

Halafu huu hapa chini ni Ubeti wa 4. wa Wimbo wa Taifa wa USA , hayo maneno yalitoka wapi kama USA siyo Taifa la Kikristo? Ni kwa nini hawajaupinga?

O! thus be it ever,
when freemen shall stand
Between their loved home
and the war’s desolation.
Blest with vict’ry and peace,
may the Heav’n rescued land

Praise the Power that hath made
and preserved us a nation!

Then conquer we must,
when our cause it is just,
And this be our motto:
In God is our trust;“

And the star-spangled banner
in triumph shall wave
O’er the land of the free
and the home of the brave​
 
Kwanini case inakuwa kwa Obama peke yake na hali kwamba wao ndio wanaolishika mabango barabarani ili waweze kutambulika na kupata haki sawa kama raia wengine pale USA...!? Me nadhani Obama hana cha kulaumiwa, ameendelea kuwapa wanachotaka!
 
Obama ni njiaa, anatekeleza na kuaandaaa mazingira ya NWO.
Dont bother, kuongea au ku protest sio ishu , soltn ni kuombea kizazi chako kiwe mbali na laaana hiiii
 
Sio obama anaeruhusu na inawezekana anapingana na hilo ila anapata shinikizo kutoka kwa waliompa urais!obama ni puppet au pawn amerika kuna watu wenye hiyo nchi ambao ndo wanampangia rais afanye nn na asifanye nn!
Ila kwa obama ndo wamezidi kumchafua kwa kumpush afanye vioja ili ionekane black is case study whenever bad example is required....
 
Hata wewe hausemi UKWELI, USA ilikuwa na Taifa la Kikristo tangu kuanzishwa kwake, kama unasema USA haijawahi kuwa Taifa la Kikristo basi labda hauelewi vizuri Historia ya Taifa hilo, kabla sijaenda mbali labda nikuulize ni kwa nini noti ya USA imeandikwa ,,In God we Trust"? Na kama unasema USA haijawahi kuwa Taifa la kidini ni kwa nini hawajawahi kupinga noti yao kuandika In God we Trust?

Halafu huu hapa chini ni Ubeti wa 4. wa Wimbo wa Taifa wa USA , hayo maneno yalitoka wapi kama USA siyo Taifa la Kikristo? Ni kwa nini hawajaupinga?

O! thus be it ever,
when freemen shall stand
Between their loved home
and the war’s desolation.
Blest with vict’ry and peace,
may the Heav’n rescued land

Praise the Power that hath made
and preserved us a nation!

Then conquer we must,
when our cause it is just,
And this be our motto:
In God is our trust;“

And the star-spangled banner
in triumph shall wave
O’er the land of the free
and the home of the brave​
Mkuu we ndo haufahamu hizi mambo ! Kama marekan ilipata Uhuru wake mwaka 1776 na hiyo in god we trust mchakato wa kuwekwa kwenye nembo mbalimbali ulianza mwaka 1861 utasemaje kuwa ni taifa la kikristo ? Nakuwekea hapa links pitia kwanza uelewe !
Was America founded as a Christian nation? - CNN.com

History of 'In God We Trust'
 
Nadhani mnaifananisha uongozi wa USA na Wa Tz kule raisi anapokea miongozo kutoka bunge la congress na la senate,yeye kama yeye hana sauti.
 
Halafu sijaelewa @Barbarossa unatatizo gani na Obama maana hii si post yako ya kwanza ukimchafua deliberately... Kama sijakosea ulisha wahi kuleta thread nyingine ukisema wazi kuwa "Obama ni kizazi cha...." I don't know the last words but hizo ni baadhi ya chuki zako kwa jamaa...
 
Yeye amerasimisha Kwa kuondoa usiri uliopo....!
 
Mkuu we ndo haufahamu hizi mambo ! Kama marekan ilipata Uhuru wake mwaka 1776 na hiyo in god we trust mchakato wa kuwekwa kwenye nembo mbalimbali ulianza mwaka 1861 utasemaje kuwa ni taifa la kikristo ? Nakuwekea hapa links pitia kwanza uelewe !
Was America founded as a Christian nation? - CNN.com

Mkuu we ndo haufahamu hizi mambo ! Kama marekan ilipata Uhuru wake mwaka 1776 na hiyo in god we trust mchakato wa kuwekwa kwenye nembo mbalimbali ulianza mwaka 1861 utasemaje kuwa ni taifa la kikristo ? Nakuwekea hapa links pitia kwanza uelewe !
History of 'In God We Trust'

Ndiyo maana nimekwambia hauelewi Historia ya USA, Marekani ni Taifa la Kikristo lina kila kitu kinachofanya nchi kuitwa Taifa la kikristo, Raisi wa kwanza wa USA George Washington alikula kiapo chake Kanisani tena Mazabahuni (altareni) huku ameshika Biblia na kuibusu baada ya kiapo, sasa iweje useme waanzilishi wa USA siyo Wakristo?
Ni kwa nini mpaka leo hii Raisi wa USA akila kiapo mwishoni anasema ,,So help me God"? ni kwa nini?

Sema unachochanganya ni kwamba USA kuna kitu wanaita separation of state and religion ni kama vile sisi tunavyosema kwamba Serikali haina dini, lkn huwo msemo una maana pana sana kuliko unavyoweza kuudhania usiuchukulie juu juu tu, Wazungu wanasema hivyo kwa sababu ya Historia yao kwa maana zamani Ulaya ilikuwa kama ilivyo Saudi Arabia leo hii kwamba kulikuwa hakuna tofauti kati ya Dini na Serikali yaani Serikali ilikuwa dini na raia wote walikuwa wanalazimishwa kuchukuwa dini ya serikali na ndiyo moja kati ya sababu iliyowakimbiza Wazungu ktk Ulaya kwenda USA na walipofika huko hawakutaka kufanya makosa yale yale hivyo wakaamua kwamba dini linabakia swala binafsi na Serikali haingilii maswala ya kidini lkn misingi ya dini ya kikristo iko pale pale na ndiyo maana Krismasi na Pasaka ni siku ya Mapumziko au unafikiri ni kwa nini? Kwa nini Saudia tarehe 25.12 siyo sikukuu?
 
Kama uchumi umeendelea kuwa stable haina tatizo. Hao transgender na homesexual Sioni tatizo endapo kazi inapigwa kama kawa.
 
Uchumi hauendi vizuri USA kihivyo, kwa mara ya kwanza kulingana na takwimu zao wenyewe USA wanasema middle class wamekuwa wachache kuliko lower na upper class!
 
Dunia inaendelea kupoteza mvuto katika Tasnia ya mahusiano
 
Raisi wa USA Barack Obama ambaye ni raisi pekee wa Taifa hilo kubwa na lenye nguvu Duniani ambaye mpaka leo hii amevunja rekodi za uthubutu, yaani amefanya mambo ambayo Maraisi wote 43 wa USA hawajawahi kutuhubutu kuyafanya, sasa ameendelea na hatua yake ya kuzidi kulibomoa Taifa hilo baada ya kwa mara kwanza ktk Historia ya nchi hiyo kuruhusu Mashoga au kama wanavyojulikana huko USA homosexuals kuwa sehemu ya Jeshi sasa amekuja na jipya Jeshi hilo la USA limeruhusu transgender kuwa sehemu ya Jeshi, Transgender ni wale watu ambao wanazaliwa kwenye jinsia ambayo wao wanaona hawakustahili kuzaliwa nayo hivyo huamua kubadilisha yaani aliyezaliwa Ke hubadilisha na kuwa Me na kinyume chake, sasa Obama ameruhusu wawe sehemu ya Jeshi la USA kwa mara ya kwanza!

Cha kushangaza zaidi kila siku anaazidi kumchokoza Mrusi waingie Vitani huku Jeshi la nchi hyio (USA) akijaza Mashoga na transgender!

Hiyo ndiyo sura mpya ya Jeshi la USA, asante Obama!

1413839833194_wps_65_Transgendered_Preview_Tra.jpg

Jinsia mpya ilioanzishwa na Obama baada ya Ke na Me sasa kuna transgender

Obama-Transgender.001.jpeg

ben+carson.jpg

Too shalow, mwandishi hajui how America operates!
 
Ndiyo maana nimekwambia hauelewi Historia ya USA, Marekani ni Taifa la Kikristo lina kila kitu kinachofanya nchi kuitwa Taifa la kikristo, Raisi wa kwanza wa USA George Washington alikula kiapo chake Kanisani tena Mazabahuni (altareni) huku ameshika Biblia na kuibusu baada ya kiapo, sasa iweje useme waanzilishi wa USA siyo Wakristo?
Ni kwa nini mpaka leo hii Raisi wa USA akila kiapo mwishoni anasema ,,So help me God"? ni kwa nini?

Sema unachochanganya ni kwamba USA kuna kitu wanaita separation of state and religion ni kama vile sisi tunavyosema kwamba Serikali haina dini, lkn huwo msemo una maana pana sana kuliko unavyoweza kuudhania usiuchukulie juu juu tu, Wazungu wanasema hivyo kwa sababu ya Historia yao kwa maana zamani Ulaya ilikuwa kama ilivyo Saudi Arabia leo hii kwamba kulikuwa hakuna tofauti kati ya Dini na Serikali yaani Serikali ilikuwa dini na raia wote walikuwa wanalazimishwa kuchukuwa dini ya serikali na ndiyo moja kati ya sababu iliyowakimbiza Wazungu ktk Ulaya kwenda USA na walipofika huko hawakutaka kufanya makosa yale yale hivyo wakaamua kwamba dini linabakia swala binafsi na Serikali haingilii maswala ya kidini lkn misingi ya dini ya kikristo iko pale pale na ndiyo maana Krismasi na Pasaka ni siku ya Mapumziko au unafikiri ni kwa nini? Kwa nini Saudia tarehe 25.12 siyo sikukuu?
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] mkuu acha uongo bana ! George Washington aliapishwa kwenye balcony second floor ya federal hall mbele ya wananchi na viongozi mbalimbali.. !
Nakuwekea link hapa kutoka website ya national archive ya marekani..
https://www.archives.gov/legislative/features/gw-inauguration/

Kama unaona uvivu nakuwekea kabisa na yaliyoandikwa..

"On April 30, 1789, George Washington took the oath as the first president of the United States. The oath was administered by Robert R. Livingston, the Chancellor of New York, on a second floor balcony of Federal Hall, above a crowd assembled in the streets to witness this historic event. President Washington and the members of Congress then retired to the Senate Chamber, where Washington delivered the first inaugural address to a joint session of Congress"
 
Hapa tutabishana mpka kesho, haya ni kwa nini wanasema so help me God? Na hii ni pamoja na Obama mwenyewe pmj na kuwa ni anti christ lkn alipomaliza kuapa alisema ,,so help God" ni kwa nini, kama USA siyo na haijawahi kuwa nchi ya kikristo?

Ni kwa nini USA Christmas na Pasaka inatambulika kama ni siku kuu ya kuzaliwa na kupaa Mbinguni kwa Yesu Kristo lkn Idd au sikukuu ya dini yoyote ile ya Kihindu au Kibudist siyo?

Ni kwa nini Ikulu ya USA wakati wa Krismasi wanaweka mti wa krismasi au christmas tree ingawaje hauhusiani na Yesu moja kwa moja lkn ni ishara ya ukristo wa Kizungu, ni kwa nini wanafanya hivyo kama siyo nchi ya Kikristo?

Ni kwa nini Obama alisema USA is no longer a christian nation it used to be ... hiyo sentensi ina maana gani kama USA haijawahi kuwa nchi ya Kikristo kama unavyosema?
 
Haya ndo matatizo ya kutaka kumfurahisha kila mtu katika utawala..!!
 
Hapa tutabishana mpka kesho, haya ni kwa nini wanasema so help me God? Na hii ni pamoja na Obama mwenyewe pmj na kuwa ni anti christ lkn alisema so help God ni kwa nini?
Ni kwa nini USA Christmas na Pasaka inatambulika kwamba ni siku kuu lkn Idd au sikukuu ya dini yoyote ile ya Kihindu an Kibudist siyo?

Ni kwa nini Obama alisema USA is no longer a christian nation it used to be ... hiyo sentesni ina maana gani kama USA haijawahi kuwa nchi ya Kikristo kama unavyosema?
Hata Tanzania magu ! JK na nk. wote waliapa kwa vitabu vya dini wanazoziamini ! Na haijarishi ! Mi mwenyewe nikigombea urais na nikashinda nitaapa kwa kutumia katiba ya nchi yangu kwavile ndo ninayoiamini !
Nikupe mfano mmoja huko huko marekani kuna wadau wanadini yao ambao wanaabudu Tambi na wanasali katika kanisa la flying spaghetti monster walipeleka hoja zao mahakamani wakashinda na mpaka kesho kuna baadhi ya majimbo yameruhusu watu hao waoane na kufanya viapo vyao kwa kutumia dini hiyo ! Actually hata passport size zao wameruhusiwa kupiga wakiwa wamevaa chujio la kuchuja tambi ambalo wao wanalifanya kama kofia na kitambulisho chao kama kofia za dini mbali mbali mf. Jews na muslims ! and that the beauty of america ![emoji4]
 
Back
Top Bottom