Hata Tanzania magu ! JK na nk. wote waliapa kwa vitabu vya dini wanazoziamini ! Na haijarishi ! Mi mwenyewe nikigombea urais na nikashinda nitaapa kwa kutumia katiba ya nchi yangu kwavile ndo ninayoiamini !
Nikupe mfano mmoja huko huko marekani kuna wadau wanadini yao ambao wanaabudu Tambi na wanasali katika kanisa la flying spaghetti monster walipeleka hoja zao mahakamani wakashinda na mpaka kesho kuna baadhi ya majimbo yameruhusu watu hao waoane na kufanya viapo vyao kwa kutumia dini hiyo ! Actually hata passport size zao wameruhusiwa kupiga wakiwa wamevaa chujio la kuchuja tambi ambalo wao wanalifanya kama kofia na kitambulisho chao kama kofia za dini mbali mbali mf. Jews na muslims ! and that the beauty of america ![emoji4]
Mkuu inabidi niache kufata threads zako... Kwa maana unaleta vitu huku unavitwist viwe in your favor ! Nmequote kama nilivyoikuta kwenye website..Lakini bado haujibu maswali yangu, wewe umesema kwamba USA haiwajahi kuwa nchi ya Kikristo nimekupa maswali unijibu unaanza kunipa stori zako, nimekuuliza ni kwa nini wasema so help me God kama nchi haina Dini na tena kushika Biblia? Ni kwa nini Obama alisema USA is no longer a christian nation it used to be nataka majibu y ahayo maswali kama ukipenda??
Issue ya kushika bible wakati wa kuapa ni kawaida ! Mtu anaapa kwa kitu anachokiamini ! Kuapa kwa magu kwa kutumia bible haina maana ya kwamba tanzania ni nchi ya kikristo !Lakini bado haujibu maswali yangu, wewe umesema kwamba USA haiwajahi kuwa nchi ya Kikristo nimekupa maswali unijibu unaanza kunipa stori zako, nimekuuliza ni kwa nini wasema so help me God kama nchi haina Dini na tena kushika Biblia? Ni kwa nini Obama alisema USA is no longer a christian nation it used to be nataka majibu y ahayo maswali kama ukipenda??
Mkuu inabidi niache kufata threads zako... Kwa maana unaleta vitu huku unavitwist viwe in your favor ! Nmequote kama nilivyoikuta kwenye website..
U. S. 'no longer a Christian Nation'
"Barack Obama made the statement with pride…'we are no longer a Christian nation; we are now a Nation of Christians, Muslims, Buddhists, . ."
Mkuu nmekwambia wazi kuwa founding fathers wa america walikuwa open kabisa ! Na hii inajidhihirisha wazi kwenye katiba yao !
Hayo unayoyasema wewe ni kukengeuka kwa viongozi wa baadae ambao walikuwa na mihemko ya kidini ! Actually kwenye katika ya marekani hakuna neno god ! Angalia hàpa [emoji116] [emoji116]
Things That Are Not In the U.S. Constitution - The U.S. Constitution Online - USConstitution.net
Ndiyo maana nimekwambia hauelewi Historia ya USA, Marekani ni Taifa la Kikristo lina kila kitu kinachofanya nchi kuitwa Taifa la kikristo, Raisi wa kwanza wa USA George Washington alikula kiapo chake Kanisani tena Mazabahuni (altareni) huku ameshika Biblia na kuibusu baada ya kiapo, sasa iweje useme waanzilishi wa USA siyo Wakristo?
Ni kwa nini mpaka leo hii Raisi wa USA akila kiapo mwishoni anasema ,,So help me God"? ni kwa nini?
Sema unachochanganya ni kwamba USA kuna kitu wanaita separation of state and religion ni kama vile sisi tunavyosema kwamba Serikali haina dini, lkn huwo msemo una maana pana sana kuliko unavyoweza kuudhania usiuchukulie juu juu tu, Wazungu wanasema hivyo kwa sababu ya Historia yao kwa maana zamani Ulaya ilikuwa kama ilivyo Saudi Arabia leo hii kwamba kulikuwa hakuna tofauti kati ya Dini na Serikali yaani Serikali ilikuwa dini na raia wote walikuwa wanalazimishwa kuchukuwa dini ya serikali na ndiyo moja kati ya sababu iliyowakimbiza Wazungu ktk Ulaya kwenda USA na walipofika huko hawakutaka kufanya makosa yale yale hivyo wakaamua kwamba dini linabakia swala binafsi na Serikali haingilii maswala ya kidini lkn misingi ya dini ya kikristo iko pale pale na ndiyo maana Krismasi na Pasaka ni siku ya Mapumziko au unafikiri ni kwa nini? Kwa nini Saudia tarehe 25.12 siyo sikukuu?
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] mkuu acha uongo bana ! George Washington aliapishwa kwenye balcony second floor ya federal hall mbele ya wananchi na viongozi mbalimbali.. !
Nakuwekea link hapa kutoka website ya national archive ya marekani..
https://www.archives.gov/legislative/features/gw-inauguration/
Kama mtu unaleta uongo mbele za watu na akili zao ilimradi uonekane unajua nadhani Mimi kama mtu makini ninatakiwa nisiendelee kujadiliana na wewe... Nina kuarifu rasmi kuwa thread sitaichangia tena mpaka uombe samahani kwa kauli zako za uongo !
Kama lingekuwa bunge la tanzania mama Tulia angekwisha kutoa ndani ya bunge na kusimamishwa kuhudhulia vikao vitano vya binge ![emoji53]
Kama unaona uvivu nakuwekea kabisa na yaliyoandikwa..
"On April 30, 1789, George Washington took the oath as the first president of the United States. The oath was administered by Robert R. Livingston, the Chancellor of New York, on a second floor balcony of Federal Hall, above a crowd assembled in the streets to witness this historic event. President Washington and the members of Congress then retired to the Senate Chamber, where Washington delivered the first inaugural address to a joint session of Congress"
teh teh hivi unajua maana ya in god we trust???Hata wewe hausemi UKWELI, USA ilikuwa na Taifa la Kikristo tangu kuanzishwa kwake, kama unasema USA haijawahi kuwa Taifa la Kikristo basi labda hauelewi vizuri Historia ya Taifa hilo, kabla sijaenda mbali labda nikuulize ni kwa nini noti ya USA imeandikwa ,,In God we Trust"? Na kama unasema USA haijawahi kuwa Taifa la kidini ni kwa nini hawajawahi kupinga noti yao kuandika In God we Trust?
Halafu huu hapa chini ni Ubeti wa 4. wa Wimbo wa Taifa wa USA , hayo maneno yalitoka wapi kama USA siyo Taifa la Kikristo? Ni kwa nini hawajaupinga?
O! thus be it ever,
when freemen shall stand
Between their loved home
and the war’s desolation.
Blest with vict’ry and peace,
may the Heav’n rescued land
Praise the Power that hath made
and preserved us a nation!
Then conquer we must,
when our cause it is just,
And this be our motto:
„In God is our trust;“
And the star-spangled banner
in triumph shall wave
O’er the land of the free
and the home of the brave
Kwanza naomba uombe msamaha and umalizie hiyo kauli ya Obama ! Then tutaendelea..Ni kwa nini unakataa kujibu maswali yangu we are no longer a christian nation maana yake nini?
In Gold Oil Diamond we trust.teh teh hivi unajua maana ya in god we trust???
Hata wewe hausemi UKWELI, USA ilikuwa na Taifa la Kikristo tangu kuanzishwa kwake, kama unasema USA haijawahi kuwa Taifa la Kikristo basi labda hauelewi vizuri Historia ya Taifa hilo, kabla sijaenda mbali labda nikuulize ni kwa nini noti ya USA imeandikwa ,,In God we Trust"? Na kama unasema USA haijawahi kuwa Taifa la kidini ni kwa nini hawajawahi kupinga noti yao kuandika In God we Trust?
Halafu huu hapa chini ni Ubeti wa 4. wa Wimbo wa Taifa wa USA , hayo maneno yalitoka wapi kama USA siyo Taifa la Kikristo? Ni kwa nini hawajaupinga?
O! thus be it ever,
when freemen shall stand
Between their loved home
and the war’s desolation.
Blest with vict’ry and peace,
may the Heav’n rescued land
Praise the Power that hath made
and preserved us a nation!
Then conquer we must,
when our cause it is just,
And this be our motto:
„In God is our trust;“
And the star-spangled banner
in triumph shall wave
O’er the land of the free
and the home of the brav
ahsante kwa kumjibu kwa fact maana alichoandika ni wazi kuwa anabifu na ukristo wa si maada husika maana kaongelea kuanza kwa kuomba na kushindwa kupambanua mambo nahisi anahitaji kuelimishwa tu
Wewe mtu mbona unapenda ubishi usio na tija? Mbona Ubavu anakuwekea vitu bayana kabisa why hutaki kuelewa? Kuapa kwa Rais akiwa ameshika biblia au quran au moto au whatever haimaanishi hilo TAIFA ni la dini hiyo analoapia bali huyo anayeapa ndio wa imani hiyo. Kutambua hizo sikukuu pia ni suala la imani la hao raia wa nchi husika si TAIFA husika.Hapa tutabishana mpka kesho, haya ni kwa nini wanasema so help me God? Na hii ni pamoja na Obama mwenyewe pmj na kuwa ni anti christ lkn alipomaliza kuapa alisema ,,so help God" ni kwa nini, kama USA siyo na haijawahi kuwa nchi ya kikristo?
Ni kwa nini USA Christmas na Pasaka inatambulika kama ni siku kuu ya kuzaliwa na kupaa Mbinguni kwa Yesu Kristo lkn Idd au sikukuu ya dini yoyote ile ya Kihindu au Kibudist siyo?
Ni kwa nini Ikulu ya USA wakati wa Krismasi wanaweka mti wa krismasi au christmas tree ingawaje hauhusiani na Yesu moja kwa moja lkn ni ishara ya ukristo wa Kizungu, ni kwa nini wanafanya hivyo kama siyo nchi ya Kikristo?
Ni kwa nini Obama alisema USA is no longer a christian nation it used to be ... hiyo sentensi ina maana gani kama USA haijawahi kuwa nchi ya Kikristo kama unavyosema?
Obama siyo Black man, bali ni mchotara mama yake ni Mzungu 100% aliitwa Ann Dunham ktk Jimbo la Kansas, USA!
Mashoga nao ni binadamu tuu acha waishi maisha yao, US sio huko kwenu mnafunga watu eti Raisi katukanwa kwenye whatsapp ,and yes US is not a Christian Nation na ni constitution yao inasema hivyo sio Obama,mnapiga piga kelele na vichuki vya kishamba,ubaguzi wa mashoga etc lakini wote ndio mnakimbilia huku ,utakuta mkimbizi kakimbia ushenzi wa ISIS or Taleban,Boko Haram etc kafika huku kapewa haki zote na kulindwa lakini shukurani yake ni kuleta ubaguzi kwa wale asiokubaliana nao like mshoga ambao hao ndio wamempokea binadamu wa ajabu sanaHauwezi kumtenganisha Obama na Mashoga na transgender, kwa maana kila siku analiongelea hili, hakuna raisi wa USA aliyewahi kuongelea mambo ya Ushoga kama Obama, Obama ndiye Raisi wa kwanza wa USA aliye tamka rasmi kwamba USA is no longer a christian nation!
Haya mambo yameanza zamani yalikuwepo Dunia nzima kama yalivyo mambo mengi tu lkn yamepata sauti baada ya Obama kuingia kwa maana yeye mwenyewe Obama ni muumini wa Ushoga, hilo liko wazi!
Ni kama hapa kwetu tu, mashoga wapo lkn wapo chini chini lkn siku Raisi akija na kusema wazi wazi kwamba wana haki sawa na ni sehemu ya jamii yetu na watoto shuleni wafundishwe kuhusu ushoga utaona jinsi utakavyoibuka!
Mashoga nao ni binadamu tuu acha waishi maisha yao, US sio huko kwenu mnafunga watu eti Raisi katukanwa kwenye whatsapp ,and yes US is not a Christian Nation na ni constitution yao inasema hivyo sio Obama,mnapiga piga kelele na vichuki vya kishamba,ubaguzi wa mashoga etc lakini wote ndio mnakimbilia huku ,utakuta mkimbizi kakimbia ushenzi wa ISIS or Taleban,Boko Haram etc kafika huku kapewa haki zote na kulindwa lakini shukurani yake ni kuleta ubaguzi kwa wale asiokubaliana nao like mshoga ambao hao ndio wamempokea binadamu wa ajabu sana
The First Amendment to the United States Constitution provides that "Congress shall make no law respecting an establishment of religion, or prohibiting the free exercise thereof ..." and Article VI specifies that "no religious Test shall ever be required as a Qualification to any Office or public Trust ...Lakini bado haujibu maswali yangu, wewe umesema kwamba USA haiwajahi kuwa nchi ya Kikristo nimekupa maswali unijibu unaanza kunipa stori zako, nimekuuliza ni kwa nini wasema so help me God kama nchi haina Dini na tena kushika Biblia? Ni kwa nini Obama alisema USA is no longer a christian nation it used to be nataka majibu y ahayo maswali kama ukipenda??
mama yakoWewe ni shoga.