Obama ana Hasira na Winnie?


Umesema yote, need you say more ?!!
 
Well said.
 
Nasikia ustadhi kikwete an awake wengi sana. Sijui itakuwaje akitutoka japo hutuombei kifo
 
Yaani swali lako ni typical uswahili. Unakuta kaka yenu ana hawara ama ex wife, siku mnamzika kaka yenu kila mtu anajidai anampenda ex ama hawara. Hakuna heshima wala nini! Winnie is part of family kwa sababu ana watoto na madiba. Graca ni mke!
Winnie bado anaheshimika sana na waSA, kuanzia serikali hadi familia ya Mandela, nahisi hata Mandela mwenyewe. Ingawa hawakuwa pamoja lakini anatambulika na kupewa nafasi yake kama mtu wa karibu sana na Mandela. ndo maana hata dakika za mwisho wa maisha ya Mandela, wakati wanamsubiria apumzike, Winnie pia aliitwa na kuwa kati ya wanafamilia wachache sana waliomshuhudia akikata roho.
Graca ni mke halali wa Mandela, Obama kumtaja Winnie kwenye maombolezo isingekuwa kusaliti chochote maana wenyewe waSA walikuwa wanawataja wote kwa pamoja kama mama.... (mama Graca, mama Winnie), ingawa mpaka sasa sielewi kwa nini.
 
Ndiyo maana Slaa anaogopa kwenda kwenye matukio maana hana mke ana vimada-funguka. Maana yangu ni kwamba mke wa Mandela aliyefiwa na mme ni Gracia, si Winnie- hiyo ni culture ya wazungu. Zuma anataja wote kwa sababu hata yeye ana wake 5.

Hivi kwenye matukio watu ni lazima waende na wake zao? Mbona sijamwona Lipumba akiwa na mke wake? Una chuki binafsi na Slaa. Pole sana. Bila kumtaja huna malipo utalaa njaa. Huu nao ni utumwa.
 
Waswahili tuna shida sana, we only try to find negatives out of anything

gosh
 
winnie si alisha lamba talaka yake au! Sasa anakuwaje tena mke wakati walishatengana.
 
ebu waondoe miaka 27 aliyokaa gerezani Mandela na kisha waangalie ni wake wangapi alioa katika maisha aliyokuwa huru ya utu uzima. Anzia hapo kabla ya kumwita majina mabaya Winnie...

sijui hapa unataka kumaanisha nini? Kama unataka kusema mzee madiba nae hakuwa ametulia kama Winnie basi utakuwa umepotoka sana, katika maisha ya utu uzima na huru Mandela alioa mara 3, ndoa yake ya kwanza na Evelyn na waliachana kutokana na kuhitirafiana kiitikadi, Dini ya mashahidi wa Yehova ya Evelyn ilikuwa hairuhusu kujihusisha na siasa hivyo Mandela hakuwa na jinsi. Akamuoa Winnie ambae alimsaliti akiwa jela na hata baada ya kutoka gerezani tena kwa kijana mdogo. Hivyo nae wakatalikiana. Ndipo alipomua Graca!
Utaona kuoa na kuacha kwa Mandela kulikuwa na sababu za msingi na wala si vinginevyo!
 

Hata Winnie alikuwa na sababu za msingi za kumegwa uraiani! Ilikuwa ni haki yake akiwa binadamu aliye physically fit! Miaka 27 akae akijikanda maji ya moto? Madiba angeweza hivyo? Kwanza alikuwa anagegeda maaskari gereza wa kike!
 
Pmj na mambo mengne winnie ameumia sana siku ya leo

pmj na makosa yake serkal ya zuma haijamtendea haki

grace n mgen,na winnie n mzawa

tuthamin vya nyumban kwanza
 
Watu wengine sijui hizi mindsets za kiswahili swahili wataacha lini karne inakaribia ya 22 jamani kha !! Au mazoea ya fast jet maana yeye angetoa hugs na busu na kuwataja mpaka wasiohusika !!

Itifaki haziendi hivyo.... kisheria ni gracia
Acha kashfa na utumwa wa fikra wewee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…