Obama ana Hasira na Winnie?

winnie walishaachana infact hakutakiwa hata kukaa mbele maana ni mzazi mwenzie tu!!!

It seems, pamoja na makosa yake katika ndoa, lakini Wasouth Afrika bado wanauthamini mchango wake as a freedom fighter, wakati huo wa struggles na ndio maana amepewa nafasi katika mstari wa mbele katika familia ya Mzee Madiba hapo Uwanjani!
 
Acha mambo yako ya primitive?! Unafikiri huo ni msiba kama ile misiba ya kwenu ambapo mwanaume akifariki wanajitokeza wanawake 10 na watoto 20 WOTE wanadai kwamba marehemu alikuwa mme wao na baba yao respectively!

Barack Obama hafanyi mambo yake kiholela holea anaogozwa na ITIFAKI tena iliyoratibiwa na watu makini waliobobea katika fani hiyo.
 
Aibu ya usaliti hudumu mpaka kifo kikutenganishe na dunia hii, ndicho kilichomtokea Winnie!
 
Nadhani ameshauriwa na TISS ya huko; maana ameonekna anafanya jitihada za maksudi kumpita Winnie
 
Acha mambo yako ya primitive?! Unafikiri huo ni msiba kama ile misiba ya kwenu ambapo mwanaume akifariki wanajitokeza wanawake 10 na watoto 20 WOTE wanadai kwamba marehemu alikuwa mme wao na baba yao respectively!

Barack Obama hafanyi mambo yake kiholela holea anaogozwa na ITIFAKI tena iliyoratibiwa na watu makini waliobobea katika fani hiyo.

Sentensi yako ya kwanza inaonyesha jinsi malezi yako yalivyo na kasoro kubwa!
 
Mbona mnamlaumu Winnie tu!!!!!

Mi nashangaa kweli wanavyomlaumu Winnie. Pamoja na yote yaliyotokea katika ndoa yake na Mandela lakini kwa hakika ana mchango mkubwa sana katika harakati za kutokomeza ubaguzi wa rangi.. Winnie bado ana heshima kubwa sana South Africa. Suala la ndoa yake na Madiba lisiondoe thamani ya juhudi zake kuwakomboa waafrika kusini..
 
Yaani swali lako ni typical uswahili. Unakuta kaka yenu ana hawara ama ex wife, siku mnamzika kaka yenu kila mtu anajidai anampenda ex ama hawara. Hakuna heshima wala nini! Winnie is part of family kwa sababu ana watoto na madiba. Graca ni mke!
 
Ndiyo maana Slaa anaogopa kwenda kwenye matukio maana hana mke ana vimada-funguka. Maana yangu ni kwamba mke wa Mandela aliyefiwa na mme ni Gracia, si Winnie- hiyo ni culture ya wazungu. Zuma anataja wote kwa sababu hata yeye ana wake 5.
 
Mi nashangaa kweli wanavyomlaumu Winnie. Pamoja na yote yaliyotokea katika ndoa yake na Mandela lakini kwa hakika ana mchango mkubwa sana katika harakati za kutokomeza ubaguzi wa rangi.. Winnie bado ana heshima kubwa sana South Africa. Suala la ndoa yake na Madiba lisiondoe thamani ya juhudi zake kuwakomboa waafrika kusini..
Nicas umenena vyema,watu wanajisahau kuwa wanatenda mabaya zaidi ya Winnie, kwa upande wangu bado nakubali mchango wa huyu Mama kwa taifa lake. Hayo mengine ni udhaifu wa kiubinadamu tu.
 
Mi nashangaa kweli wanavyomlaumu Winnie. Pamoja na yote yaliyotokea katika ndoa yake na Mandela lakini kwa hakika ana mchango mkubwa sana katika harakati za kutokomeza ubaguzi wa rangi.. Winnie bado ana heshima kubwa sana South Africa. Suala la ndoa yake na Madiba lisiondoe thamani ya juhudi zake kuwakomboa waafrika kusini..
Na Marehemu Mandela alilifahamu Hilo. Kutengana kwao mako kulikuwa katika jitihada za kuleta reconciliation katika taifa, lakini Winnie ana nafasi ya pekee katika ukombozi wa Afrika Kusini. Wanaonena vibaya Winnie, ebu waondoe miaka 27 aliyokaa gerezani Mandela na kisha waangalie ni wake wangapi alioa katika maisha aliyokuwa huru ya utu uzima. Anzia hapo kabla ya kumwita majina mabaya Winnie...
 
Back
Top Bottom