Obama ana Hasira na Winnie?

Obama ana Hasira na Winnie?

Winnie alichemsha dakika za mwisho. Kumbe ishu si kuanza bali ni kumaliza
 
Baba wa kweli ni yule anayelea mtoto; Mke wa kweli ni yule anayemzika mumuwe (kwa shida na raha)

nafikiri Obama yupo sahihi - mama winnie aliamua kula maisha yake wakati mzee yupo gerezani, ni kosa!!

nakubaliana na wewe kwa paragraf ya kwanza lakini kwa ya pili sikubaliani na wewe kosa la winie ni kuhusishwa na mauaji ya kijana mdogo ambaye aliuwawa na wafuasi wa winie wakati wa harakati za ukombozi na hili ndilo lililomfanya mzee mandela kuachana na winie.
 
Mi nashangaa kweli wanavyomlaumu Winnie. Pamoja na yote yaliyotokea katika ndoa yake na Mandela lakini kwa hakika ana mchango mkubwa sana katika harakati za kutokomeza ubaguzi wa rangi.. Winnie bado ana heshima kubwa sana South Africa. Suala la ndoa yake na Madiba lisiondoe thamani ya juhudi zake kuwakomboa waafrika kusini..
Ndugu usichanganye madawa. Huu ni msiba wa Former President Mandela na siyo mkusanyiko wa kuwaenzi wapigania uhuru wa Afrika kusini. Anayetambulika kama mke wake wa ndoa wa marehemu kwa sasa ni Graca Machel na ndio maana anapewa pole na viongozi waliofika kumuenzi marehemu.
 
Rais Zuma amemtaja!

Mimi binafsi siungi mkono tabia chafu za Winnie kama binadamu, lakini baadhi bado wanauthamini mchango wake katika struggles za apartheid South Africa, nao tusiwapuuze sana--democracy at work!

Tabia chafu za Winnie Medikizela ni zipi?
 
Pengine hao wamama wote wanaijua thamani yao kwa Mandela tena kila mmoja kwa wakati wake. Pamoja na mmoja kuwa mke halali mwingine ni mama wa watoto wake. Hata wasipomtaja lakini winne alisaidia kwenye harakati za kupigania uhuru wa nchi yao.
 
Nimejiuliza hilo swali nimeshindwa kupata jibu! Kwa sababu Obama amemtaja Graca katika hotuba yake lakini siyo Winnie na pia alipomaliza hotuba yake akampa pole Graca, tena kwa hug, isipokuwa Winnie ingawa akina mama hao walikuwa wamekaa karibu sana! Was it that questionable integrity on the part of Winnie?

First lady ni kimombo kunaweza kuwa na maladies kibao wa mandela lakini first lady anakuwa ni mmoja tu.Na ndiye hutambuliwa katika protocol.Hapo paweza kuwa palikuwa na ma-ladies kibao wakiwemo hawara za mandela wa enzi hizo lakini first lady anakuwa mmoja tu.Nadhani neno FIRST linaeleweka.Huyo ndiye anakuwa passed hata kiusalama n.k kuwa hata ukimkumbatia hawezi kukupumlia sumu ya kufa taratibu au ukimpa mkono hawezi kukuachia sumu viganjani.

Huo sio msiba wa uswahilini ambako mkono wa pole unaweza toa hata kwa mahawara wa marehemu kidume mtaani aliyefariki!!!!!!!!!!.Alichofanya Obama kinaitwa PROTOKALI IMEZINGATIWA.
 
yote tisa kumi nilimuona kama rais wa syria al- assad.au hilo halileti mshangazo zaidi ya hilo la kutotajwa winnie.halafu naambiwa pope nae ndani.
 
Baba wa kweli ni yule anayelea mtoto; Mke wa kweli ni yule anayemzika mumuwe (kwa shida na raha)

nafikiri Obama yupo sahihi - mama winnie aliamua kula maisha yake wakati mzee yupo gerezani, ni kosa!!

Ndugu yangu Fuso, nadhani huna historia sahihi ya mchango wa Winnie wakati wa harakati za ukombozi. Alipofungwa Mandela, hakuna mtu ye yote yule aliyeweza kulitangaza jina lake kama Winnie. Walter Sisulu ambae alikuwa akifanya kazi pamoja na Mandela na ambae alikuwa akifahamika sana vile vile, mke wake hakuweza kuliweka jina lake "alive" kama alivyoweza kufanya Winnie. Alipokamatwa Mandela na hatimae kufungwa,Winnie alikuwa na watoto wadogo bila kuwa na kipato maalumu. Maisha yake yalikuwa magumu sana lakini bado aliweza kusimama. Winnie aliongoza mapambano na alikuwa akikamatwa na kuteswa mara kwa mara. Hata Mandela mwenyewe aliwahi kusema kuwa afadhali yeye alifungwa gerezani,lakini Winnie aliteseka zaidi maana alikuwa akitanga tanga na watoto pamoja na kukamatwa kila mara. Winnie alikula maisha gani wakati Mandela akiwa gerezani? Ni kweli inasemekana alikuwa akitembea na mwnasheria mmoja. Naona huo ni ubinadamu tu. Miaka 27 nani angeweza kuvumilia kweli? Tusiwe wanafiki jamani. Hivi angefungwa Winnie,tena kifungo cha maisha, Mandela angekaa hata miaka 3 kweli bila ya kuoa mwingine? Alipofungwa Mandela,Winnie alikuwa kijana sana na mrembo balaa. Lakini hakuolewa badala yake alipigania jina la mumewe lisisahaulike Hakuna namna utakayoweza kuzungumzia harakati za kupigania uhuru wa Afrika ya Kusini na chama cha ANC bila ya jina la Winnie Madikizela Mandela kujitokeza mara nyingi tu. Tafadhali naomba usimhukumu. Obama achana nae, hata Ban-Kimoon alimtaja Winnie. Kwa maelezo ya uhakika zaidi, soma kitabu cha 'Long Walk to Freedom' by Nelson Mandela.
 
Mkuu hili suala la Winnie lina utata sana, alifunga ndoa na Mandela mwaka 1958 na 1962 Mandela akafungwa kifungo cha maisha. Binti wa miaka karibu 25 anashuhudia mme wake akihukumiwa kifungo cha maisha na kubaki na watoto wadogo, pamoja na hali hiyo alipambana kuhakikisha analea watoto wake na anapanga mikakati ya ukombozi. Kati hali ya kawaida Hakuna binadamu yeyote at the age of 20's anayeweza kumaliza miaka 27 bila kufanya mambo hayo. Kwa upande wangu nadhani si haki kumlaumu Winnie pamoja na kua mimi binafsi iliniuma sana kuachana na Mandela.
 
It seems, pamoja na makosa yake katika ndoa, lakini Wasouth Afrika bado wanauthamini mchango wake as a freedom fighter, wakati huo wa struggles na ndio maana amepewa nafasi katika mstari wa mbele katika familia ya Mzee Madiba hapo Uwanjani!
Well said mkuu, kama Mandela aliweza kuwasamehe wajahili waliotaka kumtia kitanzi kwa nini hakumsamehe Winnie - hata kama alikuwa hataki kuendelea kuishi naye sioni sababu ya chama cha ANC kuendelea na njama za kutaka kumdhalilisha mbele za wageni? Watu wanacho sahau ni kwamba kelele na vitimbwi vya Winnie kwa Serikali ya makaburu wakati Mandela yuko kifungoni ndio kulikuwa kunaifanya Dunia ikumbuke Nelson Mandela, bila ya Winnie kuwasumbua Makaburu na kufanya vyombo vya habari kuwa vina andika habari zake mara kwa mara Mandela angesahulika, tuwe wakweli hapa - Winnie aliteseka sana na wanawe, aliwahi kufungwa gerezani, nyumbani kwake, kupigwa marufuku asikutane na watu etc, nasema hivi pamoja na mapungufu yake kama binadamu wengine tulivyo sihungi mkono mbinu za akina Jacob Zumma na kundi lake kufanya mbinu za kumu-ignore mama huyu - binafsi nimekasirishwa sana na njama hizi - Baraka Obama atakuwa alighafirika tu awezi kumu-ignore Winnie kimaksudi, si ajabu hajawahi kukutana nae hata Baraka na familia yake walipo kuwa wanakuja kumtembelea Mandela nyumbani kwake nadhani walikuwa wanakutana na Graca sio Winnie, Winnie alikuwa anaishi mbali na Graca. Tuwe wakweli hapa mtu uwezi kuzungumzia Mandela ukamsahau Winnie, looking back now naona wakina Zuma walikuwa wanakasirishwa na kauli za Winnie Mandela ambaye alikuwa anashutumu Serikali ya ANC kwa kuwasahau watu weusi walio pigana kufa na kupona kuiweka madarakani lakini anaona miaka karibu ishirini tangu wapate uhuru bado hali ya Wafrica ni duni sana, wengi wao wanaendelea kuishi kwenye slums, hawana umeme wala maji ya bomba - Winnie yuko outspoken sana katika suala hili na wanachi wengi wanamuhunga mkono - chukulia mfano wa leo pale uwanjani walipo kuwa wanataja jina la Winnie uwanja ulikuwa unalipuka kwa vifijo na makofi lakini sio kwa Graca, hata Zuma alizomewa - kwa nini?
 
Watu wengine sijui hizi mindsets za kiswahili swahili wataacha lini karne inakaribia ya 22 jamani kha !! Au mazoea ya fast jet maana yeye angetoa hugs na busu na kuwataja mpaka wasiohusika !!

Itifaki haziendi hivyo.... kisheria ni gracia
 
Huwezi kuwasilisha hoja yako bila kashfa? Inakuwa rahisi kwa wenye akili kujua kuwa "mindset" yako ina kasoro kubwa!! Huna haki ya kuzuia wengine wasitoe mawazo yao-period! Kajipange!!
 
Back
Top Bottom