Obama ana Hasira na Winnie?

Obama ana Hasira na Winnie?

Ndugu yangu Fuso, nadhani huna historia sahihi ya mchango wa Winnie wakati wa harakati za ukombozi. Alipofungwa Mandela, hakuna mtu ye yote yule aliyeweza kulitangaza jina lake kama Winnie. Walter Sisulu ambae alikuwa akifanya kazi pamoja na Mandela na ambae alikuwa akifahamika sana vile vile, mke wake hakuweza kuliweka jina lake "alive" kama alivyoweza kufanya Winnie. Alipokamatwa Mandela na hatimae kufungwa,Winnie alikuwa na watoto wadogo bila kuwa na kipato maalumu. Maisha yake yalikuwa magumu sana lakini bado aliweza kusimama. Winnie aliongoza mapambano na alikuwa akikamatwa na kuteswa mara kwa mara. Hata Mandela mwenyewe aliwahi kusema kuwa afadhali yeye alifungwa gerezani,lakini Winnie aliteseka zaidi maana alikuwa akitanga tanga na watoto pamoja na kukamatwa kila mara. Winnie alikula maisha gani wakati Mandela akiwa gerezani? Ni kweli inasemekana alikuwa akitembea na mwnasheria mmoja. Naona huo ni ubinadamu tu. Miaka 27 nani angeweza kuvumilia kweli? Tusiwe wanafiki jamani. Hivi angefungwa Winnie,tena kifungo cha maisha, Mandela angekaa hata miaka 3 kweli bila ya kuoa mwingine? Alipofungwa Mandela,Winnie alikuwa kijana sana na mrembo balaa. Lakini hakuolewa badala yake alipigania jina la mumewe lisisahaulike Hakuna namna utakayoweza kuzungumzia harakati za kupigania uhuru wa Afrika ya Kusini na chama cha ANC bila ya jina la Winnie Madikizela Mandela kujitokeza mara nyingi tu. Tafadhali naomba usimhukumu. Obama achana nae, hata Ban-Kimoon alimtaja Winnie. Kwa maelezo ya uhakika zaidi, soma kitabu cha 'Long Walk to Freedom' by Nelson Mandela.

Umesema yote, need you say more ?!!
 
Well said.
 
Nasikia ustadhi kikwete an awake wengi sana. Sijui itakuwaje akitutoka japo hutuombei kifo
 
Yaani swali lako ni typical uswahili. Unakuta kaka yenu ana hawara ama ex wife, siku mnamzika kaka yenu kila mtu anajidai anampenda ex ama hawara. Hakuna heshima wala nini! Winnie is part of family kwa sababu ana watoto na madiba. Graca ni mke!
Winnie bado anaheshimika sana na waSA, kuanzia serikali hadi familia ya Mandela, nahisi hata Mandela mwenyewe. Ingawa hawakuwa pamoja lakini anatambulika na kupewa nafasi yake kama mtu wa karibu sana na Mandela. ndo maana hata dakika za mwisho wa maisha ya Mandela, wakati wanamsubiria apumzike, Winnie pia aliitwa na kuwa kati ya wanafamilia wachache sana waliomshuhudia akikata roho.
Graca ni mke halali wa Mandela, Obama kumtaja Winnie kwenye maombolezo isingekuwa kusaliti chochote maana wenyewe waSA walikuwa wanawataja wote kwa pamoja kama mama.... (mama Graca, mama Winnie), ingawa mpaka sasa sielewi kwa nini.
 
Ndiyo maana Slaa anaogopa kwenda kwenye matukio maana hana mke ana vimada-funguka. Maana yangu ni kwamba mke wa Mandela aliyefiwa na mme ni Gracia, si Winnie- hiyo ni culture ya wazungu. Zuma anataja wote kwa sababu hata yeye ana wake 5.

Hivi kwenye matukio watu ni lazima waende na wake zao? Mbona sijamwona Lipumba akiwa na mke wake? Una chuki binafsi na Slaa. Pole sana. Bila kumtaja huna malipo utalaa njaa. Huu nao ni utumwa.
 
Nimejiuliza hilo swali nimeshindwa kupata jibu! Kwa sababu Obama amemtaja Graca katika hotuba yake lakini siyo Winnie na pia alipomaliza hotuba yake akampa pole Graca, tena kwa hug, isipokuwa Winnie ingawa akina mama hao walikuwa wamekaa karibu sana! Was it that questionable integrity on the part of Winnie?
Waswahili tuna shida sana, we only try to find negatives out of anything

gosh
 
nimejiuliza hilo swali nimeshindwa kupata jibu! Kwa sababu obama amemtaja graca katika hotuba yake lakini siyo winnie na pia alipomaliza hotuba yake akampa pole graca, tena kwa hug, isipokuwa winnie ingawa akina mama hao walikuwa wamekaa karibu sana! Was it that questionable integrity on the part of winnie?
winnie si alisha lamba talaka yake au! Sasa anakuwaje tena mke wakati walishatengana.
 
ebu waondoe miaka 27 aliyokaa gerezani Mandela na kisha waangalie ni wake wangapi alioa katika maisha aliyokuwa huru ya utu uzima. Anzia hapo kabla ya kumwita majina mabaya Winnie...

sijui hapa unataka kumaanisha nini? Kama unataka kusema mzee madiba nae hakuwa ametulia kama Winnie basi utakuwa umepotoka sana, katika maisha ya utu uzima na huru Mandela alioa mara 3, ndoa yake ya kwanza na Evelyn na waliachana kutokana na kuhitirafiana kiitikadi, Dini ya mashahidi wa Yehova ya Evelyn ilikuwa hairuhusu kujihusisha na siasa hivyo Mandela hakuwa na jinsi. Akamuoa Winnie ambae alimsaliti akiwa jela na hata baada ya kutoka gerezani tena kwa kijana mdogo. Hivyo nae wakatalikiana. Ndipo alipomua Graca!
Utaona kuoa na kuacha kwa Mandela kulikuwa na sababu za msingi na wala si vinginevyo!
 
Hata Winnie alikuwa na sababu za msingi za kumegwa uraiani! Ilikuwa ni haki yake akiwa binadamu aliye physically fit! Miaka 27 akae akijikanda maji ya moto? Madiba angeweza hivyo? Kwanza alikuwa anagegeda maaskari gereza wa kike!
 
Pmj na mambo mengne winnie ameumia sana siku ya leo

pmj na makosa yake serkal ya zuma haijamtendea haki

grace n mgen,na winnie n mzawa

tuthamin vya nyumban kwanza
 
Watu wengine sijui hizi mindsets za kiswahili swahili wataacha lini karne inakaribia ya 22 jamani kha !! Au mazoea ya fast jet maana yeye angetoa hugs na busu na kuwataja mpaka wasiohusika !!

Itifaki haziendi hivyo.... kisheria ni gracia
Acha kashfa na utumwa wa fikra wewee
 
Back
Top Bottom