jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,362
Nitofautiane nanyi woote, Mandela ameshakufa, kwa mujibu wa kiapo cha ndoa tayari kifo kishawatenganisha, ile hati ya ndoa imeisha thamani. anabaki kuwa graca na huyu hayati mandela, sasa kwa kuwa huyu Mandela enzi za uhai wake alikwishaapa kuwa mume wa winnie, kwa sababu zao binafsi wakaamua kutengana haifuti ukweli kuwa once upon a time hawa watu walikuwa mtu na mkewe.
kwa hiyo basi kwa kuwa Mandela amekufa, wale aliopata kututangazia hadharani kuwa ni wake zake wanakuwa wajane wake. Enzi za uhai wake akimwita x-wife, zama za umauti anakuwa widow wake full stop.
KAMA ILITOKEA MNAVYOSIMULIA, BASI WAMEMNYANYASA WINNIE.