BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
OP zimegoma kabisa alidhani akipita huku na kule zitapanda lakini ndiyo zinazidi kushuka akiamua kushambulia na mambo yakaenda kombo au njemba ikaendelea kubaki madarakani basi uchaguzi wa mwakani voters wanaweza wakampa kipigo cha mwaka na kuwapa Republicans majority kwenye senate na congress. O' kachemsha sana kwa kuangalia upande mwingine tangu 2011 halafu sasa ndiyo anaibuka na kutaka kufanya mashambulizi, namsubiri kumuangalia atakavyojikanyangakanyaga kutafuta mlango wa kutokea kwenye hotuba yake. Imekula kwa O'
Mimi Kusema ukweli sijamshangaa sana huwa hapendi responsibility na leadership .sasa anatapatapa mara hapa hapa Mara pale .He can't lead at all