Obama amebadilika tena hata enda vitani Syria

Obama amebadilika tena hata enda vitani Syria

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,900
Obama look so weak Mpaka Putin anampelekesha.Mara Leo kasema hili Mara sijasema .
 
Nataka niamini ule usemi wa mtu mweusi ni mweusi tu amezoea kutawaliwa kifkra hata kama ana position gani hana maamuzi solid. Obama amedhihirisha hilo na kimsingi ameudhi wengi.!!!!
 
Nataka niamini ule usemi wa mtu mweusi ni mweusi tu amezoea kutawaliwa kifkra hata kama ana position gani hana maamuzi solid. Obama amedhihirisha hilo na kimsingi ameudhi wengi.!!!!

Mimi Kusema ukweli sijamshangaa sana huwa hapendi responsibility na leadership .sasa anatapatapa mara hapa hapa Mara pale .He can't lead at all
 
Putin yupo Syria, USA akiichapa Syria maana ake amemchapa Putin na akimchapa Putin, Putin anazaa na Israel.
 
Nataka niamini ule usemi wa mtu mweusi ni mweusi tu amezoea kutawaliwa kifkra hata kama ana position gani hana maamuzi solid. Obama amedhihirisha hilo na kimsingi ameudhi wengi.!!!!
kama ulikua hufuatilii issue ni kwamba wamarekani 4 kati ya 10,ndo waliunga mkono obama kushambulia syria,hiyo ni poll iliyofanywa jana mchana na CNN, Wajumbe wa congress wengi walikua against mashambulizi hadi wameamua kusogeza mbele upiga kura ili kumuepushia obama aibu ya kushindwa vote kama ilivyotokea kwa cameron.

Sasa kama wamarekani,waingereza na hadi pope wanapinga hiyo vita,wewe mmanyema ndo umeshupalia,you must have a problem somewhere.
 
Putin yupo Syria, USA akiichapa Syria maana ake amemchapa Putin na akimchapa Putin, Putin anazaa na Israel.
ukweli ni kuwa obama alikua anatafuta a way out of that crisis without loosing face.

Hali ilikua tata sana,meli za kivita za marekani na russia federation zilikua zinatazamana.
Na ili kuchochea vita zaidi israel akafyatua makombora mawili toka kwenye submarine zake kwenda kupiga damascu ionekane marekani ndo kaanzisha ili vita viwake.
Bahati marekani wakayadungua kabla hayajavuka mediterania.
Wakasema eti ilikua test.kwahali kama hiyo hali ilikua tete ingeweza kupelekea mapigano kati ya manowari za marekani na zile za russia.
 
Obama haeleweki na wala yeye mwenyewe hajui anachotaka. Ndo maana alipokuwa state senator alivote "present" mara mia moja na kitu ili kuepuka responsibility.
 
Syria anatakiwa kukabidhi siraha zote za sumu...ni wazo zuri inamaana akikataa hakutakua na mjadala tena atapigwa..
 
Obama hawezi kumpiga Assad ambae pamoja na Udikteta tu wa kukaa madarakani kwa muda mrefu, chini ya Assad wakristo na waislamu waliishi na kufanya kazi kwa amani, na ana mawaziri kadhaa wakristo. Huko walikochukua waasi tayari makanisa yanachomwa na waarabu wakristo wanashambuliwa, waasi wa Syria sio rizki ni alkaida tupu. Asante Obama kwa maamuzi magumu.
 
Obama wala Marekani kama nchi haina lolote katika hiyo Vita ni basi tu wanaonyesha jinsi walivyo kiu ya damu,ukweli ni kwamba kile ki nchi cha Qatar ndio kina ugomvi na Syria hasa ugomvi wa kibiashara tu sio kitu kingne, kina Gas nyingi tu na kinataka kuiuza Ulaya ila mpaka ipitie Syria halafu Uturuki ndio ivuke sasa Syria kakatalia hicho kiinchi kupitisha bomba lake ndio maana wanampampu Marekani amuongoe Assad, bahati mbaya Putin na hata raia wa hizi nchi za Ulaya nao wanajua vita hii itakumba mbaya maana Russia anauza Gas kule Ulaya na Assad alivyomzuia huyu Qatar ina maana kibiashara ameisaidia Russia, that simply means any strike in Syria will not only affect Assads Gvt even Russia economic interest will feel the same pinch,

Raia wa kawaida wa hizi nchi wanashangaa kwanini hasa watu wao na kodi zao zitumike kuua watu wengine umbali mrefu wala hawako jirani nao, wanaona kwamba bora wajitanue wajaribu kuzuia huu ubazazi wa serikali zao maana chuki inayojengwa inawaumiza wao kama raia wakikamatwa wanauawawa ,wanateswa kwa chuki ya hizi serikali zao,Obama pia ni mtu dhaifu sana, kama Rais wa US ana mamlaka ya kukataa kitu, hata Ghadafi aliuwawa Obama was against ila alipewa presha na Maccain pamoja na Cameroon..hana maana kabisa uyu jaluo...
 
kama ulikua hufuatilii issue ni kwamba wamarekani 4 kati ya 10,ndo waliunga mkono obama kushambulia syria,hiyo ni poll iliyofanywa jana mchana na CNN, Wajumbe wa congress wengi walikua against mashambulizi hadi wameamua kusogeza mbele upiga kura ili kumuepushia obama aibu ya kushindwa vote kama ilivyotokea kwa cameron.

Sasa kama wamarekani,waingereza na hadi pope wanapinga hiyo vita,wewe mmanyema ndo umeshupalia,you must have a problem somewhere.

Huwezi Kuwa kiongozi Kama unasikiliza polls .Bush alienda vitani na akashinda second term .Obama anapenda Kupendwa badala ya Kuwa kiongozi .Putin sasa ndio boss wa Obama
 
namuunga mkono obama kwa dunia ya leo kupigana vita na ushamba na ujinga uliopitiliza

Yeye ndio alitangaza vita hii .Ukitangaza umetangaza .Next time watamdharau .Iran atafanya yake
 
kama ulikua hufuatilii issue ni kwamba wamarekani 4 kati ya 10,ndo waliunga mkono obama kushambulia syria,hiyo ni poll iliyofanywa jana mchana na CNN, Wajumbe wa congress wengi walikua against mashambulizi hadi wameamua kusogeza mbele upiga kura ili kumuepushia obama aibu ya kushindwa vote kama ilivyotokea kwa cameron.

Sasa kama wamarekani,waingereza na hadi pope wanapinga hiyo vita,wewe mmanyema ndo umeshupalia,you must have a problem somewhere.
Mbona Nyerere Alipiga Idi Amin.Obama anasema hili,John Kerry lille,Hillary nae hivi .Message iwe moja na clear .Hii ni personal Kati ya putin na Obama .inanihusu vipi well stock is way up tangia vita itangazwe we are gaining money watch stocks tomorrow .Unakumbuka RED LINE
 
I advocate for dialogue and diplomacy in settling this matter.Big Up Obama, if this is exactly what you mean.
 
Hahaha,john kerry ndo aliharibu move yote jana wakati akitoa pressconference pale UK,aliulizwa kuwa,''syria ifanye nini ili kuepuka kipigo''.
Akaropoka,''syria must surrender all its chemical weapons to international watchdog in a week'.
Ukweli hakua serious,warusi wakaidaka ndani ya dakika ishirini tu tayari wakawa wamemtaka assad asalimishe silaha za sumu...wakati bado state department wanakanusha kuwa kerry wasnt serious and the words never was intendend to be a proposal,syria wakasema wanakubaliana na hilo wazo la kusalimisha silaha.
Obama akawa hana jinsi bali kufuata upepo.
France wanapeleka resolution kwenye security council baadae leo.
Lakini vilevile obama leo anahutubia taifa la marekani pengine akafafanua zaidi aliposimamia.
 
Back
Top Bottom