Obama amebadilika tena hata enda vitani Syria

Obama amebadilika tena hata enda vitani Syria

kama ulikua hufuatilii issue ni kwamba wamarekani 4 kati ya 10,ndo waliunga mkono obama kushambulia syria,hiyo ni poll iliyofanywa jana mchana na CNN, Wajumbe wa congress wengi walikua against mashambulizi hadi wameamua kusogeza mbele upiga kura ili kumuepushia obama aibu ya kushindwa vote kama ilivyotokea kwa cameron.

Sasa kama wamarekani,waingereza na hadi pope wanapinga hiyo vita,wewe mmanyema ndo umeshupalia,you must have a problem somewhere.

The US is simply war weary, she has been fighting all over for the last ten or so years without any tangible results.
 
kama ulikua hufuatilii issue ni kwamba wamarekani 4 kati ya 10,ndo waliunga mkono obama kushambulia syria,hiyo ni poll iliyofanywa jana mchana na CNN, Wajumbe wa congress wengi walikua against mashambulizi hadi wameamua kusogeza mbele upiga kura ili kumuepushia obama aibu ya kushindwa vote kama ilivyotokea kwa cameron.

Sasa kama wamarekani,waingereza na hadi pope wanapinga hiyo vita,wewe mmanyema ndo umeshupalia,you must have a problem somewhere.

Watu wanachukulia vita kirahisi sana humu jukwaani mimi nimekuja kuona. Yaani kuna wengine wanachochea hata watu kupishana vijijneno kidogo tu vita itokee. Mimi hata sielewi.
 
Nataka niamini ule usemi wa mtu mweusi ni mweusi tu amezoea kutawaliwa kifkra hata kama ana position gani hana maamuzi solid. Obama amedhihirisha hilo na kimsingi ameudhi wengi.!!!!

We acha bangi Obama anatengeneza History ya Marekani, vita vipo pale pale,
Kizungu kigumu sijuwi kama unaelewa! Weusi unakujaje? Mbona nyinyi waswahili wabaguzi hivi?
Obama sio mwenzio wewe faaala!
 
warusi ni wataalamu wa mchezo wa chess kumbuka.

Scratch a Russian you find a Tartan.. hawa watu waache kama walivyo. Nawashangaa wanaotamani Obama akapige Syria, lengo lenu ni ilimfurahie viredio vyenu vitakapokuwa vinataja kuongezeka kwa vifo ama!?
 
Nataka niamini ule usemi wa mtu mweusi ni mweusi tu amezoea kutawaliwa kifkra hata kama ana position gani hana maamuzi solid. Obama amedhihirisha hilo na kimsingi ameudhi wengi.!!!!

wewe kwa ujinga wako angepigana ndo angekuwa kamaliza matatizo na hivyo kukufurahisha? mbona matatizo ya Libya, Egypt, Iraq hayajaisha? au unachopenda ni kuona damu zaid ya wenzako inamwagika? laana ya M/mungu ikushukie pamoja na wenzako wote mnaofurahia jambo hili
 
Wengine wanaona kama vile vita ni mechi ya. Man U na Chesea vile. Hovyooo!
 
The world needs peace, not war. Whenever there is an opportunity for peace we should always give it the first priority. Military must be the last option.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hata alipomtandika osama hakutangaza na angetangaza asingeungwa mkono pia.
 
Hata alipomtandika osama hakutangaza na angetangaza asingeungwa mkono pia.

Kwa Osama ilikuwa ni tofauti sana, tena sana tu.

An overwhelming majority of the American people wanted Osama dead or alive na uwindwaji wake ulikuwa unajulikana.
 
The world needs peace, not war. Whenever there is an opportunity for peace we should always give it the first priority. Military must be the last option.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
lakini watu wamesahau mafundisho ya huyu jamaa.
NujPDJ4.jpg
 
Hizo ni mbinu za kivita. Ataingilia mlango wa nyuma. Subiri mtaona. Mia
 
ni bora wameshtuka US wangeshindwa vibaya hivo vita.
 
watu wengi wanadhani vita vinapiganwa kwenye keyboard ikitokea vita watakaoumia ni mamia ya akina mama na watoto wa Syria ambao hawana hatia hakuna sababu ya kuendeleza kwa wakati huu hao Marekani hawana lolote hawajahi kupigana vita ya kutafuta haki bali huwa wanaangalia maslahi yao kwanza siyo wakuamini hata kidogo wanatamani wapindue serikali zote za dunia hii ili waweke vibaraka wao
 
namuunga mkono obama kwa dunia ya leo kupigana vita na ushamba na ujinga uliopitiliza

Ni gaffe ya John Kerry ndio imezua hayo .wewe nawe utampongeza Obama haku sema yeye .Obama apigane vita Nani atamwamwini ana ubao huo
 
  • Thanks
Reactions: CPA
Obama alishapoteza mwelekeo baada ya bunge la Uingereza kukataa kuunga mkono kuishambuli Syria, anachojitahidi kufanya ni kuangalia namna ya ku-dissolve issue hii iishe kiaina.
 
We acha bangi Obama anatengeneza History ya Marekani, vita vipo pale pale,
Kizungu kigumu sijuwi kama unaelewa! Weusi unakujaje? Mbona nyinyi waswahili wabaguzi hivi?
Obama sio mwenzio wewe faaala!
Obama ana zero credibility kwa wamarekani .
 
Kuingia vitani kwa Marekani kutaumiza uchumi wa Marekani na uchumi wa dunia, Marekani ina matatizo ya kiuchumi na hii pia ni moja ya sababu zinazomfanya Obama asite site kuingia vitani
 
Back
Top Bottom