Sahihi kabisaa mkuuHakuna haja ya kuoa,Hakuna mwqnamke anaweza kukupenda,wanawoke c watu mkuu ni nyoka ,waliokosa mikia tuu
Sahihi kabisaaHakuna haja ya kuoa,Hakuna mwqnamke anaweza kukupenda,wanawoke c watu mkuu ni nyoka ,waliokosa mikia tuu
Sahihi kabisaa mkuu
Zamani tulikua tunaoa ili KUJENGA familia………… Siku hizi mnaoana kwasababu mnapendana
Mapenzi hupoa ama kuisha kabisa, kama mlioana kwasababu ya kujenga familia mtaheshimu misingi ya famila hata kama upendo utapoa
Lakini mkioana kwasababu ya Mapenzi siku yakianza kupoa na ndoa ndio basi tena
Hata kama anakupenda vipi. Lakini kuna siku atakubadilikia hutoamini kama kweli ni yeye,, mwanamke si wakumuamini hata kidogo..Utajengaje familia na MTU asiyekupenda..mfano yule niliyemuacha ...hakuheshimu...ana kudharau..KIBURI..hata unyumba anakunyima ..ana kuoa mpaka akijisikia..
anakutolea Kauli za kuudhi...n.k
Familia inajengwa katika msingi WA KUHESHIMIANA, KUPENDANA, AMANI...familia Gani huku mnachukiana...mna DHARAULIANA..KIBURI..
nafikiri tunatofautiana .. labda KWA sababu mwanzo sikuzoea KUDHARAULIKA kutokuheshimiwa nikishindwa kuvumilia dharau..
MANA MIND YOU THAT...utaishi naye MKATABA WA maisha ,utaishije naye maisha Yako yote na MTU asiyekuheshimu ..mtajengaje hiyo familia..
OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
Naunga mkono hoja.Mwanamke kama hakupendi WEWE basi tambua kuna ANAYEMPENDA ambaye SIO WEWE.
Na kamwe HUWEZI KUNUNUA UPENDO wake kwa gharama YEYOTE ili akuende WEWE.
Mana UPENDO WA KWELI HAUNUNULIKI.
Kumgharamia sana mwanamke,kumhonga sana hata UMUHONGE DUNIA hii yote haimaanishi unaweza KUNUNUA UPENDO WAKE kumbadilisha hisia za dhati za moyo wake.(Jipe matumaini atabadilika)
Penda usipopendwa for your own risk
MTU anakusemesha Kauli za dharau.. anasema hivi sijui ilikuwaje mpaka nikazaa na WEWE?n
kwanza sijui ulinipataje.. Mimi siyo hadhi Yako..x wangu alikuwa ananihudumia..KWAKO hapa pesa huna..pamoja na kujitahidi lakini bado hakuheshimu..na maneno MENGI ya dharau
Utajengaje familia na mwanamke anayekudharau??
HaiwezekaniiMTU anakusemesha Kauli za dharau.. anasema hivi sijui ilikuwaje mpaka nikazaa na WEWE?n
kwanza sijui ulinipataje.. Mimi siyo hadhi Yako..x wangu alikuwa ananihudumia..KWAKO hapa pesa huna..pamoja na kujitahidi lakini bado hakuheshimu..na maneno MENGI ya dharau
Utajengaje familia na mwanamke anayekudharau??
Mkuu sidhani kama wewe na huyo mtuhimiwa wako mlioana…………. Mlibebana ili kuona kama MNAPENDANA ili muoaneUtajengaje familia na MTU asiyekupenda..mfano yule niliyemuacha ...hakuheshimu...ana kudharau..KIBURI..hata unyumba anakunyima ..ana kuoa mpaka akijisikia..
anakutolea Kauli za kuudhi...n.k
Familia inajengwa katika msingi WA KUHESHIMIANA, KUPENDANA, AMANI...familia Gani huku mnachukiana...mna DHARAULIANA..KIBURI..
nafikiri tunatofautiana .. labda KWA sababu mwanzo sikuzoea KUDHARAULIKA kutokuheshimiwa nikishindwa kuvumilia dharau..
MANA MIND YOU THAT...utaishi naye MKATABA WA maisha ,utaishije naye maisha Yako yote na MTU asiyekuheshimu ..mtajengaje hiyo familia..
OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
Ni sahihi lakini endapo upendo ukiisha hata suala la kutunza watoto.. sidhani kama utaliona sababu hapo mwanzo kulikuwa na upendo ndani yake....Mkuu sidhani kama wewe na huyo mtuhimiwa wako mlioana…………. Mlibebana ili kuona kama MNAPENDANA ili muoane
Tatizo la KUPENDANA sio lake tu, hata kwako pia………… inawezekana mliweka mbele mapenzi kwanza, na tatizo la mapenzi kila mtu ana KIPIMO chake kwamba nikifanyiwa hivi ndio kweli napendwa
Na hakika hata yeye akiulizwa atakua na hadithi kama zako
Mkuu sisemi ukaokote hata Malaya anayejiuza uoe……. Hapana
Tafuta mwanamke anayejielewa na mwenye akili ya kuweza kutunza watoto wako na kuwa mshauri wako mkuu……..na sio unaye/anayekupenda sana sababu huo upendo LAZIMA utapoa lakini kilichokifanya umuoe kitabaki
Mkuu ukiona wanandoa wanaishi pamoja miaka sijui 20 ujue hakuna DHORUBA hawajawahi kupitia Lakini waliweka misingi ya FAMILIA kwanzaNi sahihi lakini endapo upendo ukiisha hata suala la kutunza watoto.. sidhani kama utaliona sababu hapo mwanzo kulikuwa na upendo ndani yake....
Ni sahihi lakini endapo upendo ukiisha hata suala la kutunza watoto.. sidhani kama utaliona sababu hapo mwanzo kulikuwa na upendo ndani yake....
Uyu si loose nut uyu
Sasa inabidi umpate ambae ni mnyenyekevu na anekubali yaishe.. lakini ukutane na KIGINGI.. mkuu utatamani muachane tuu....Mkuu ukiona wanandoa wanaishi pamoja miaka sijui 20 ujue hakuna DHORUBA hawajawahi kupitia Lakini waliweka misingi ya FAMILIA kwanza
Hakuna ndoa ambayo ule upendo wa mwanzo 100% ukaendelea hivyo hivyo maisha yenu yote………. Kuna wakati unashuka hadi negative 0 lakini utawaona wakiwa mbele za watu tabasamu kubwaaaa
Mwisho wa siku wanakubali yaishe na maisha yanaendelea
Mkuu sijamaanisha uoe asiyekupenda………….. Msingi usiwe kupendwa sanaaaa, msingi uwe je huyu mwanamke ana akili ya kusimamia familia yako kama msaidizi wako hata mapenzi yakiisha?inatokea mwanamke ANAYEKUPENDA pia anakuwa anajielewa,moambanaji,superwoman,pia akwa mshauri MZURI KWAKO...na mara nyingi mwanamke ANAYEKUPENDA anakuwa na SIFA hizo zote na anakuwa na future na maisha yenu na familia.
Ila asiyekupenda hata BAJETI TU Hana ,Hana HURUMA na WEWE,Hana future na WEWE anakuwa ni gold digger.. inawezekana tunaongea kitu kimoja katika angel tofauti..au tunaongea vitu tofauti.
Aisee, tahadhari ya kwanza ni kuhakikisha hautafuti ushujaa kwenye tabia za watu eti nitambadilisha tabia yake. Tahadhari ya pili heshimu maneno ya wahenga, kama wahenga walishanyoosha kidole sehemu kuwa uwe mwangalifu, usiwabishie vinginevyo huwe umejiandaa kisaikolojia. Tahadhari ya tatu ukianza mjadala wa kuwa na familia kwa kumwambia tukapime afya zetu kwanza tucheki maradhi tuliyonayo na tuyatafutie ufumbuzi, The Rhesus factor ( wataalamu nisaidie kutafsiri) na kadhalika na huyo unayemlenga haonyeshi seriousness unapoeleza haya, anachekacheka tu. Jua hapo hakuna kitu. Yaa Nne ingawa si umuhimu sana ukiona unaitwa majina mazuri tu pale unapotoa mkwanja, ndala mkononi na kimbia haraka sana.Zamani tulikua tunaoa ili KUJENGA familia………… Siku hizi mnaoana kwasababu mnapendana