Oa mwanamke anayekupenda!

Oa mwanamke anayekupenda!

Dunia ya sasa we tafuta hela uzipate na asilimia kubwa ya malalamiko yako kuhusu wanawake yatakwisha……….isipokua Kuchapiwa tu 😂
😄😄 kwamba kuchapiwa ni kilio hadi kwa madon
 
Mwanamke kama hakupendi WEWE basi tambua kuna ANAYEMPENDA ambaye SIO WEWE.
Na kamwe HUWEZI KUNUNUA UPENDO wake kwa gharama YEYOTE ili akuende WEWE.
Mana UPENDO WA KWELI HAUNUNULIKI.

Kumgharamia sana mwanamke,kumhonga sana hata UMUHONGE DUNIA hii yote haimaanishi unaweza KUNUNUA UPENDO WAKE kumbadilisha hisia za dhati za moyo wake.(Jipe matumaini atabadilika)

Penda usipopendwa for your own risk
Atakupenda kwa muda atabadilika
Do not trust women
 
😄😄 kwamba kuchapiwa ni kilio hadi kwa madon
Mkuu kuchapiwa ni kawaida sana haijalishi status yako…….. ni vile sisi wanaume wagumu kuukubali ukweli huu

Kama unavyoona kwetu wanaume kuchepuka ni kawaida sana……. Na kwa wanawake ni vivyo hivyo

Tofauti ni kwamba Mwanaume akijua anachapiwa huo mziki wake na ndoa inaweza kufa lakini mwanamke akijua ataishia kulia lia tu kwa sababu ya MFUME DUME uliopo

Mimi nilichogundua ni kwamba wanandoa wanatakiwa “KUHESHIMIANA” kwa kuhakikisha kama una mchepuko wako basi USIJULIKANE wala USIHARIBU kabisa ratiba za ndoa…….. hapo mtaishi kwa AMANI kabisa kila mmoja akiamini mwenzake kanyooka
 
Mwanamke kama hakupendi WEWE basi tambua kuna ANAYEMPENDA ambaye SIO WEWE.
Na kamwe HUWEZI KUNUNUA UPENDO wake kwa gharama YEYOTE ili akuende WEWE.
Mana UPENDO WA KWELI HAUNUNULIKI.

Kumgharamia sana mwanamke,kumhonga sana hata UMUHONGE DUNIA hii yote haimaanishi unaweza KUNUNUA UPENDO WAKE kumbadilisha hisia za dhati za moyo wake.(Jipe matumaini atabadilika)

Penda usipopendwa for your own risk
Mimi ndio nilifanya hivi... Ninae mtu anae nipenda

Vijana wajifunze
 
Mkuu kuchapiwa ni kawaida sana haijalishi status yako…….. ni vile sisi wanaume wagumu kuukubali ukweli huu

Kama unavyoona kwetu wanaume kuchepuka ni kawaida sana……. Na kwa wanawake ni vivyo hivyo

Tofauti ni kwamba Mwanaume akijua anachapiwa huo mziki wake na ndoa inaweza kufa lakini mwanamke akijua ataishia kulia lia tu kwa sababu ya MFUME DUME uliopo

Mimi nilichogundua ni kwamba wanandoa wanatakiwa “KUHESHIMIANA” kwa kuhakikisha kama una mchepuko wako basi USIJULIKANE wala USIHARIBU kabisa ratiba za ndoa…….. hapo mtaishi kwa AMANI kabisa kila mmoja akiamini mwenzake kanyooka
Mkuu kuna msemo maarufu 'wanaume tumeumbiwa tamaa' yaani tamaa zetu za kimwili zipo juu kushinda wenzetu.

So kama hawana tamaa za kimwili kihivyo na wapo na madon wanaowatake care kwanini sasa rate yao ya uchepukaji iwe sawa na sisi tu wanaume?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom