a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 3,799
- 4,356
- Thread starter
- #81
Usijidanganye ,kama unatambua kabisa huyu mwanamke hakupendi na kwako amefuata PESA TU na unalitambua hilo na bado upo naye??..basi tambua..kuna mwingine ambaye ana hisia naye ANAYEMPENDA ambaye siyo WEWE.
na wanawake Huwa wanajua wanachokitaka wanajua wanayempenda na wanajua hata watakaye saa naye anaamua azae na nani hata kama yupo kwenye ndoa.
na anaweza akawa ANACHUKua pesa kwako anampelekea anayempenda mwenye hisia naye,na kama mwanamke Hana hisia na WEWE hata kumfikisha kileleni pia ni KAZI ,mana mapenzi ni hisia.
Kuishi na mwanamke ASIYEKUPENDA ,Tena huku UNAJUA kabisa KWAKO amefuata HELA TU..Tena unasema wanawake siku hizi wanafuata hela TU..una uhakika kabisa hupendwi ila pesa zako TU ndio zjnapendwa na bado unakomaa naye??
basi uwe Nan uhakika kuna ANAYEMPENDA ambaye siyo WEWE??..pole sana mkuu.