TANZIA O.J.Simpson afariki dunia. Alichomoka kesi ya mauaji ya mkewe na rafiki yake wa kiume pamoja na ushahidi kumnyooshea kidole

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,252
113,648
Mwanamichezo maarufu, O.J. Simpson amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76 kwa kansa. Simpson pamoja na michezo anakumbukwa kwa kesi ya mauaji ambapo alituhumiwa kumuua mkewe Nicole Brown(35) pamoja na rafiki wa kiume wa mkewe, Ron Goldman(26) mwaka 1995.

Katika utetezi wake, upande wa utetezi ulisema Simpson alisingiziwa na polisi wakisukumwa na ubaguzi wa rangi ikiwemo kuweka damu ya Simpson kwenye eneo la tukio na glove iliyotumiwa wakati wa mauaji, Simpson alipojaribu kuivaa mahakamani ilimbana mikononi na wakili wake kutumia hoja hoja hiyo wakati anatoa taarifa ya kufunga ushahidi kwamba kama haimtoshi, aachiwe huru. Mahakama ilimkuta bila hatia.

Kesi yake ilitajwa kama 'Kesi ya Karne' nchini Marekani

======
Former American footballer O.J. Simpson has died at the age of 76, according to reports.

In a statement on X, his family said: "On April 10th, our father, Orenthal James Simpson, succumbed to his battle with cancer.

"He was surrounded by his children and grandchildren.

"During this time of transition, his family asks that you please respect their wishes for privacy and grace."

Simpson was tried for murder in October 1995, in what was dubbed the "trial of the century". He was found not guilty of murdering two people.

IMG_6269.jpeg
 
RIP.

Huyu jamaa alifanya American Judiciary system ionekane a Joke... Hususan baada ya kutoa kitabu cha Ku-joke kilichofanyika

Anyway nikim-qoute
Chris Rock... I don't say O.J. Did it...., But I understand....
 
Screenshot_20240411_155832_Chrome.jpg


Mchezaji wa Mpira wa zamani wa American Football O J Simpson amefariki dunia

Kwa majibu wa familia yake, O J Simpson amefariki dunia kwa ugonjwa wa Kansa

O J Simpson amefariki akiwa na umri wa miaka 76

O J atakumbukwa kwa kesi yake ya kutuhumiwa kumuua mke wake, ambayo mwishoni alishinda kesi hiyo
 
Back
Top Bottom