Nzige billioni 200!

Nzige billioni 200!

Wazungu wametutengenezea janga kama walilofanya kule China na Corona, wanatusubiria tuwaombe msaada wa madawa na helkopta au watukodishie kwa bei juu
Sidhani kama wangeweza kuunda hii takataka nyingi hivi ya wadudu... me naona kwamba
Duniani kuna majanga ya aina mbili;
1.majanga ya asili mfano mashambulio ya nzige
2.majanga ya kusababishwa (au kuundwa) na mwanadamu mfano mlipuko wa magonjwa ya ebola na corona
 
Hao nzige ni sawa na balale au panzi.

Ina maana hujawahi kumuona panzi?

Panzi wanaliwa ila hao nzige hawaliwi.

Na hawang'ati lakini wakipita kwenye shamba lako utaambulia tu miti. Wanakula majani yote
Wananuka vibaya sana.
 
Wazungu wametutengenezea janga kama walilofanya kule China na Corona, wanatusubiria tuwaombe msaada wa madawa na helkopta au watukodishie kwa bei juu
Sijui umri wako lakini nzige hujitokeza kila baada ya miaka flani. Ni janga la kawaida sio la kutengenezwa.
Wapo kabla ya laboratory hata moja haija tengenezwa Ulaya ya kale.
Wakati wazungu wanaishi nyumba za tope na nyasi.
Kitu kama mzunguko wa tabia nchi maana hujirudia kila baada ya miaka kadhaa.
 
Sio kweli mto naili ulikuwa damu lilikuwa ni onyo la kwanza kabisa kwa farao alikuwa anaoga humo.
Ni nzige ziliandikwa hivo. Ila kiuhalisia ni senene.. Bible za zamani kiswahili chake ni complicated sana.
Mfano. Mto naili maji yaligeuka kua damu..
Uhalisia. Mto naili maji yaligeuka kua kama damu.
(Mto naili maji yaligeuka mekundu ajili ya tope lililojaa mtoni.. wakasema maji yalikua damu)
 
Sijui umri wako lakini nzige hujitokeza kila baada ya miaka flani. Ni janga la kawaida sio la kutengenezwa.
Wapo kabla ya laboratory hata moja haija tengenezwa Ulaya ya kale.
Wakati wazungu wanaishi nyumba za tope na nyasi.
Kitu kama mzunguko wa tabia nchi maana hujirudia kila baada ya miaka kadhaa.

Wazungu usiwaamini, wanauwezo wa kuzalisha hao nzige na kuwaachia wakatawanyika duniani, kama walitengeneza mafua katika vita ya kwanza ya dunia watashindwa kuzalisha nzige katika karne hizi
 
Sidhani kama wangeweza kuunda hii takataka nyingi hivi ya wadudu... me naona kwamba
Duniani kuna majanga ya aina mbili;
1.majanga ya asili mfano mashambulio ya nzige
2.majanga ya kusababishwa (au kuundwa) na mwanadamu mfano mlipuko wa magonjwa ya ebola na corona

We hushangai kwanini ni wengi hivyo je walikaa wapi wakazaliana kwa wingi hivyo? kule Yemeni wanakosingizia kuwa walianzia huko ni jangwani je walikuwa wanakula nini hadi wakazaliana hivyo?
 
Ni nzige ziliandikwa hivo. Ila kiuhalisia ni senene.. Bible za zamani kiswahili chake ni complicated sana.
Mfano. Mto naili maji yaligeuka kua damu..
Uhalisia. Mto naili maji yaligeuka kua kama damu.
(Mto naili maji yaligeuka mekundu ajili ya tope lililojaa mtoni.. wakasema maji yalikua damu)
Naona unalainisha mambo, ni kweli Yohana alikula nzige na sio senene na Nile maji yaligeuka kuwa damu, hiyo ya tope ni wewe tu umetunga.
 
Back
Top Bottom