Nzige billioni 200!

Nzige billioni 200!

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,014
1580398361806.png
1580398395367.png
1580398464369.png
1580398501565.png
1580398558446.png
1580398564709.png
 
Wameishafika Somalia na wanasafiri kwa mwendokasi

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hao nzige ni sawa na balale au panzi.

Ina maana hujawahi kumuona panzi?

Panzi wanaliwa ila hao nzige hawaliwi.

Na hawang'ati lakini wakipita kwenye shamba lako utaambulia tu miti. Wanakula majani yote
Mkuu sikujua hilo.Ila nimewahi kusoma kitabu fulani kwamba kuna Nabii aliishi jangwani na chakula chake kilikuwa ni nzige na asali!Inasangaza!😂
 
Ooh!Si mbaya.Huwa tunakosea kusoma na hata kuangalia herufi pia.Kumbe ni "nseneneee"?Yooo...Ntikumanya!😂
Ni nzige ziliandikwa hivo. Ila kiuhalisia ni senene.. Bible za zamani kiswahili chake ni complicated sana.
Mfano. Mto naili maji yaligeuka kua damu..
Uhalisia. Mto naili maji yaligeuka kua kama damu.
(Mto naili maji yaligeuka mekundu ajili ya tope lililojaa mtoni.. wakasema maji yalikua damu)
 
Ni "sahihi" mkuu.Hata kilichogeuka kuwa "kama damu" kilitoa harufu yenye kukirihisha!Sad,huh!?😂
 
Da vince code, wewe ni code breaker? Unajitahidi kubadili uhallisia kuwa imagination zako
Ni nzige ziliandikwa hivo. Ila kiuhalisia ni senene.. Bible za zamani kiswahili chake ni complicated sana.
Mfano. Mto naili maji yaligeuka kua damu..
Uhalisia. Mto naili maji yaligeuka kua kama damu.
(Mto naili maji yaligeuka mekundu ajili ya tope lililojaa mtoni.. wakasema maji yalikua damu)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom