Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,884
- 870,876
Kuvunja Nyakati Zilizotekwa
Katika mafundisho ya kiroho wakati au hatima ya mtu (au jamii) huonekana kuwa imekwama au kucheleweshwa na uovu, tabia mbaya, ukatili au mifumo hasi—hivyo inahitaji toba, bidii, na hatua za makusudi ili kurejesha "miaka iliyoliwa na nzige"
Kurejesha miaka iliyoliwa na nzige kulingana na Yoeli 2:25 (“Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige...”) kunamaanisha Mungu anaingilia kati kuleta fidia ya kimungu (divine restoration) inayofanya matokeo ya kipindi kifupi yawe makubwa kuliko miaka mingi ya hasara, umaskini, mateso na maumivu.
Tanganyika mpya inakuja🔥🔥🔥