Nzige billioni 200!

Nzige billioni 200!

Hao nzige ni sawa na balale au panzi.

Ina maana hujawahi kumuona panzi?

Panzi wanaliwa ila hao nzige hawaliwi.

Na hawang'ati lakini wakipita kwenye shamba lako utaambulia tu miti. Wanakula majani yote
Soma hapa usipotoshe watu mkuu Insects could be an important food source in the future, according to scientists who met this week in the Netherlands. DW spoke with Dutch researcher Arnold van Huis about his favorite edible insects.

DW: Mr. van Huis, do you eat insects yourself?

Arnold van Huis: Yes, about once a week. There are a number of shops in the Netherlands where you can buy insects. Or you can order them in the Internet. There are freeze-dried locusts and two types of mealworm, that's the larval form of the mealworm beetle.

Which insects taste the best?

Locusts. And crickets as well, but they aren't available on the Dutch market yet.

How do they taste?

It's just like with chicken or beef, without any added flavoring most people wouldn't find insects that tasty. You have to prepare them correctly and make something out of them. And it depends a bit on the type of insect. Crickets taste good just lightly roasted. It's the same with grasshoppers.

How do you best add flavor to insects?

With a bit of salt, tomatoes and onion. Sometimes they are blanched or cooked. And you can crush them and turn them into all sorts of products.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Locusts = nzige

Huyu Dr wa Uholanzi aje Kenya atabeba wa kula miaka 10.ijayo.
 
Hiyo ni fursa,wakamatwe wakaushwe wawe chakula cha mifugo
 
Ni nzige ziliandikwa hivo. Ila kiuhalisia ni senene.. Bible za zamani kiswahili chake ni complicated sana.
Mfano. Mto naili maji yaligeuka kua damu..
Uhalisia. Mto naili maji yaligeuka kua kama damu.
(Mto naili maji yaligeuka mekundu ajili ya tope lililojaa mtoni.. wakasema maji yalikua damu)
Haa unataka kuleta ya jua kuzama matopeni
 
Ni nzige ziliandikwa hivo. Ila kiuhalisia ni senene.. Bible za zamani kiswahili chake ni complicated sana.
Mfano. Mto naili maji yaligeuka kua damu..
Uhalisia. Mto naili maji yaligeuka kua kama damu.
(Mto naili maji yaligeuka mekundu ajili ya tope lililojaa mtoni.. wakasema maji yalikua damu)
Sio complicated Mkuu hiko ni Kiswahili murua, maridadi, maridhawa tena sanifu kabisa... kuna vitu vinaitwa tamathali za semi na mbinu za kisanaa katika lugha (form III&IV) ukirejea pale vizuri utakuta hayo mambo mfano Sitiari, tashibiha, tashtiti, lakabu, tanakali sauti , takriri, taniaba, mjalizo, na kadhalika

*Kulinganisha bila kutumia viunganishi huitwa Sitiari mf. Fulani ni nyoka

*Kulinganisha kwa kutumia viunganishi huitwa tashbiha mf. Fulani ni kama nyoka

Dah!... nimejikuta nakumbuka mbali sana Mkuu
 
Back
Top Bottom