jamaniMijinywele yaanzia uvunguni, yapanda hadi kitovuni, tumboni, yapanda hadi kifuani, hiyoooo weeeee, yapanda shingoni, hiyo mijinywele yajaa usoni, yaenda hadi mgongoni, yaanza kushuka chini, hiyo hadi kiunoni, yateremka chini hadi vungu uvundo, kasheshe ukitaka kunyoa unaanzia wapi?
Zinaotaga sehemu gani pale
Unaanzia mwanzoMijinywele yaanzia uvunguni, yapanda hadi kitovuni, tumboni, yapanda hadi kifuani, hiyoooo weeeee, yapanda shingoni, hiyo mijinywele yajaa usoni, yaenda hadi mgongoni, yaanza kushuka chini, hiyo hadi kiunoni, yateremka chini hadi vungu uvundo, kasheshe ukitaka kunyoa unaanzia wapi?
Duuuuh anataka kuwa soft mwenzio mpe mwongozo atumie vipodozi vipi ?Ukiona unakereka na vitu vinavyokupa sura ya kiume ujue unaelekea kuwa choko
HahahahahahJamaa hajasaidiwa chochote imepigwa jalamba tu hapa...
Dawa yake ni ndogo tu washa moto wa mabua kisha vua nguo zote alafu uwe unapita katikati ya moto mbioooo unageuka tena mbioooop unageuka tena mbiooooooo unageuka tena mbiooo unageuka tena mbioo hadi ziungue zote hazitaota tena
Hizo ndo point
unageuka mbioooo
unageuka mbiooo
unageuka mbiooo
hhhhhhh
Mijinywele yaanzia uvunguni, yapanda hadi kitovuni, tumboni, yapanda hadi kifuani, hiyoooo weeeee, yapanda shingoni, hiyo mijinywele yajaa usoni, yaenda hadi mgongoni, yaanza kushuka chini, hiyo hadi kiunoni, yateremka chini hadi vungu uvundo, kasheshe ukitaka kunyoa unaanzia wapi?