Nywele za kifuani mpaka tumboni kero kubwa napata shida

Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
45,887
Points
2,000
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
45,887 2,000
Mijinywele yaanzia uvunguni, yapanda hadi kitovuni, tumboni, yapanda hadi kifuani, hiyoooo weeeee, yapanda shingoni, hiyo mijinywele yajaa usoni, yaenda hadi mgongoni, yaanza kushuka chini, hiyo hadi kiunoni, yateremka chini hadi vungu uvundo, kasheshe ukitaka kunyoa unaanzia wapi?
 
Kokontinko

Kokontinko

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2013
Messages
13,802
Points
2,000
Kokontinko

Kokontinko

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2013
13,802 2,000
Historia inawataja kuwa zamani mlikuwa nyani. Uliona wapi nyani akakosa nywele tumboni.
Asithubutu kunyoa.Upele na kujikuna hadi atajuta.Nilijaribu nilipokuwa teeneger nilikoma.
 

Forum statistics

Threads 1,336,629
Members 512,670
Posts 32,545,872
Top