Mwezi huu nimekataliwa na warembo 4 kwa sababu ya kuwa na nywele nyekundu

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
5,411
7,016
Jamani hali gani?

Niruke kwenye hoja yangu. Mimi ni mwanaume handsome tu safi, ninajua kuvaa na nina vihela vya kubadili mboga na tugari. Nimekuwa nikipata shida mno kupata mwanamke wa kuingia naye mahusianoni kwa sababu ya shida yangu ya nywele nyekundu.

Nina nywele nyekundu ndiyo, ila si kipili pili yaani zile za kujiviriga viriga na kuwa 'tim tim'. Nikichana zinachanika fresh na zinakuwa level safi tu, shida ni rangi yake nyekundu. Daaah! Yaani naandika huku nacheka na sijui kwa nini!

Simply tu nimegundua warembo wanaangalia mno nywele, na ndiyo maana vijana wengi wa sasa wanawekeza sana kwenye mitindo ya nywele na rangi. Siku hizi hakuna kitu kinachouzika madukani kama super blacks, zamani ilikuwa wateja ni wazee, ila nowadays ni vijana wenzetu ndiyo wateja.

Anyway nimejikubali na kuikubali hali yangu ya nywele, nimekataa kutumia super blacks na taka taka nyingine.

Kutokana na mazingira niliyokutana nao hawa mabinti, ilikuwa si rahisi kunijua kwa ukaribu hivyo hawakujua kuwa nina tuchenji, walianza kunihukumu kwa rangi ya nywele.

NB: Nimekubali yaishe ila nywele kupaka black ni big no. Najikubali, kwanza ukiwa mweupe na ukawa na nywele za kizungu (nyekundu) ni bonge la mvuto, mradi tu ziwe safi.

Ila kwa nyie weusi halafu mkawa na nywele nyekundu kwa kweli ni kituko mno (samahanini kwa kusema hili). Siku hizi kuna rate ya watu wengi weusi kuwa na nywele nyekundu, huo ni uchafu, ni kituko.

I think ukiwa mweusi na ukawa na nywele nyekundu super black itakufaa sana. Unlike kwa mtu mweupe kama mimi.

Mwenye kujua dawa tiririka weusi wapone.
 
Kama hupendi kuweka Black basi badirisha muonekano kwa kunyoa kipara.

=======

Ushauri wangu ni kujiamini vile ulivyo

Haji Manara anajiamini vile alivyo ndiyo maana anaoa kila leo na kuacha kadri anavyoamua

Iweje wewe?

Tuendelee kutafuta hela Kaka
Kaka nikisema hela ninayo nitakuwa najisifia, na mimi sitaki iwe hivyo. Ila hawa mabinti walinikataa katika hatua za awali zaidi za kuwatongoza tu. Sikupenda kutumia hela kaka.
 
karibu chama letu mzee tujivinjari....
'sheria mkononi, amani moyoni'
imageedit_2_9126229852.jpg
 
Jamani hali gani?

Niruke kwenye hoja yangu. Mimi ni mwanaume handsome tu safi, ninajua kuvaa na nina vihela vya kubadili mboga na tugari. Nimekuwa nikipata shida mno kupata mwanamke wa kuingia naye mahusianoni kwa sababu ya shida yangu ya nywele nyekundu.

Nina nywele nyekundu ndiyo, ila si kipili pili yaani zile za kujiviriga viriga na kuwa 'tim tim'. Nikichana zinachanika fresh na zinakuwa level safi tu, shida ni rangi yake nyekundu. Daaah! Yaani naandika huku nacheka na sijui kwa nini!

Simply tu nimegundua warembo wanaangalia mno nywele, na ndiyo maana vijana wengi wa sasa wanawekeza sana kwenye mitindo ya nywele na rangi. Siku hizi hakuna kitu kinachouzika madukani kama super blacks, zamani ilikuwa wateja ni wazee, ila nowadays ni vijana wenzetu ndiyo wateja.

Anyway nimejikubali na kuikubali hali yangu ya nywele, nimekataa kutumia super blacks na taka taka nyingine.

Kutokana na mazingira niliyokutana nao hawa mabinti, ilikuwa si rahisi kunijua kwa ukaribu hivyo hawakujua kuwa nina tuchenji, walianza kunihukumu kwa rangi ya nywele.

NB: Nimekubali yaishe ila nywele kupaka black ni big no. Najikubali, kwanza ukiwa mweupe na ukawa na nywele za kizungu (nyekundu) ni bonge la mvuto, mradi tu ziwe safi.

Ila kwa nyie weusi halafu mkawa na nywele nyekundu kwa kweli ni kituko mno (samahanini kwa kusema hili). Siku hizi kuna rate ya watu wengi weusi kuwa na nywele nyekundu, huo ni uchafu, ni kituko.

I think ukiwa mweusi na ukawa na nywele nyekundu super black itakufaa sana. Unlike kwa mtu mweupe kama mimi.

Mwenye kujua dawa tiririka weusi wapone.
Tafuta hela. Ukiwa na hela wanawake watakubaka
 
Back
Top Bottom