Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 576
- 1,626
Wakuu,
Hili jambo limekuwa likinishangaza sana, mwanamke anaetengeza nywele zake natura anaambiwa mbona hujasuka, ingekuwa rasta ndio ingekuwa sawa na ungependeza, ingekuwa wigi ndio ungekuwa smart. Siku mwenye natura akisuka rasta anaambiwa sasa leo umesuka? Kwanini iko hivi?
Lakini pia kwanini nywele natural hizi kipilipili mtu akifuga nywele ndefu au akawa ras kwa jinsia zote mbili hainekani kama mtu yuko smart hata kama nywele ni safi na zimetunzwa vizuri? Nadra sana kuona mtu amefuga nywele kama ras na akawa anafanya kazi katika ofisi umma. Kama ndio asili ya nywele zetu na mtu anazitunza vizuri kwa usafi kwanini inaonekana haifai kwenye sehemu rasmi?
Nakumbuka kipindi tuko shule (za serikali) ilikuwa marufuku kwa wasichana kusuka, lakini wenye asili ya kiarabu walikuwa wanaruhusiwa kuwa na nywele ndefu hata kwa wavulana wakisema hiyo ni asili ya nywele zao! Nywele
Kuna shida gani na mtu kuwa na nywele natural?