Nywele za kifuani mpaka tumboni kero kubwa napata shida

Mijinywele yaanzia uvunguni, yapanda hadi kitovuni, tumboni, yapanda hadi kifuani, hiyoooo weeeee, yapanda shingoni, hiyo mijinywele yajaa usoni, yaenda hadi mgongoni, yaanza kushuka chini, hiyo hadi kiunoni, yateremka chini hadi vungu uvundo, kasheshe ukitaka kunyoa unaanzia wapi?
Unaanzia mwanzo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mijinywele yaanzia uvunguni, yapanda hadi kitovuni, tumboni, yapanda hadi kifuani, hiyoooo weeeee, yapanda shingoni, hiyo mijinywele yajaa usoni, yaenda hadi mgongoni, yaanza kushuka chini, hiyo hadi kiunoni, yateremka chini hadi vungu uvundo, kasheshe ukitaka kunyoa unaanzia wapi?

We fala umenichekesha yani hii comment naisoma huku nimelewa inaniongeza pombe

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom