....Nywele za chini

kwel bana, kwa wanawake cjui .
wanawake inatakiwa daily coz mara ya kwanza ku do huyo gal nilye du nae alikuwa anazifuga cjui ushamba bado kidogo nikimbie nikizani anataka kujifungua nikawaza nisije singziwa mtoto bure.
Nilzani kichwa
 
Duhhhhh! hivi mpaka leo kuna watu wananyoa hizo? nilifikiri ni sisi wa zamani tu, siku hizi zinatengenezwa, zinakatwa fashion, nenda na wakati.
 
Nywele za chini ni zipi na za juu ni zipi Mpwa? za Chini ya Kidevu hua nanyoa at least mara mbili hadi tatu kwa wiki ila nikiwa na mhadhara hua naziacha zirefuke, za kichwani hua ni mara moja kwa wiki, nadhani hizi ziko juu wewe ulitaka za chini, ok za chini hapa jirani na kitovu hua nanyolewa na shemejio, so inategemea ratiba yake, zikishaanza kumsumbua basi lazima siku hio nikalishwe kwene kigoda panga lipite, na hizi hapa chini ya mkono au kwapa, hua mara nyingi nazisokota nina mpango wa kufuga rasta za chini ndio maana kila siku navaa shati la mikono mirefu halafu jeupe.

Hope mimi tu ndio nimejibu swali vizuri eeeh, haya subiri nimwite wifi yenu nae atoe mawazo yake kabla hajanipikia kitimoto
 
julyna_webpage_designs_cropped.jpg

Pubic%2BHair%2Balphabet1.jpg


Soma hapa: Pubic Hair Design and Styling Kit
 
Duhhhhh! hivi mpaka leo kuna watu wananyoa hizo? nilifikiri ni sisi wa zamani tu, siku hizi zinatengenezwa, zinakatwa fashion, nenda na wakati.

Hahahaaa! @ Brazilian a.k.a Kiduku
 
Sometimes huwa nawaza wangeanzisha saloon special ukienda kunyoa za kumkichwa unawakumbushia na za huko...

Mbona saluni zipooo wewe, tena wananyo na sukari na asali ya moto. wakibandua inatoka na mzizi wa nywele, afu no upeleupele sio wembe unakomaza! Tena saluni moja iko Upanga, Kinondoni na Mikocheni. Elfu 30,000 kwa service. Wateja wengi wahindi manake zinaota kila saa so muhimu kungoa shina!!! APANA CHEZEA WABONGO KWA KUTAFUTA PESA!!!!
 
Kama una kipara kichwani, ni vizuri ukafuga hizo za chini ikitokea hata dili inayohusu nywele na wewe unaingia kwenye mchakato!
 
Back
Top Bottom