....Nywele za chini

blogger

JF-Expert Member
Mar 13, 2012
10,403
12,541
Eti hizi nywele za chini ni vizuri kuzinyoa mara ngapi kwa mwaka...
Mie mwenzenu mara mbili tu
Wewe je?

Nakutakieni weekend njema wapendwa
 
jamani kuna watu wana vichaka humu, x 2 a year mmmh, reasonably atleast 2x a month.
 
kwel bana, kwa wanawake cjui ila bnafs nahisi january, june, imetoka hd krismas may b.
 
Eti hizi nywele za chini ni vizuri kuzinyoa mara ngapi kwa mwaka...
Mie mwenzenu mara mbili tu
Wewe je?

Nakutakieni weekend njema wapendwa

haaaaaaaaaa unanyoa mara mbiki kwa mwaka? Si unamsitu huko chini....? Unataka kufungua zoo?
 
Back
Top Bottom