....Nywele za chini

....Nywele za chini

Kipi hakiko wazi ndugu yangu na umri wooote huo?
Anyway, napenda kuzinyoa frequently; lakini kila ninapoziona upande wa pili zimerefuka huwa zinanitia mchecheto sana.
 
haaa aisee mapele yake... yanawasha hayana aibu, yanawasha hata kwenye intavyuu!! nakumbuka secondari aisee!! JF bana

umewahi kunyoa hadi mwisho unapotembea unajisikiaje? aisee mm sigusi kule
 
haaa aisee mapele yake... yanawasha hayana aibu, yanawasha hata kwenye intavyuu!! nakumbuka secondari aisee!! JF bana

umewahi kunyoa hadi mwisho unapotembea unajisikiaje? aisee mm sigusi kule

ha ha ha....
 
Frequency ya kunyoa inategemea na ukuaji wa hayo mavuzi otherwise for a normal human being mara mbili kwa mwezi naona iko njema.
Kumbuka nywele houta as a result of dead cells so kama kama wanyoa mara 2 kwa mwaka then rate ya kufa kwa seli hai zako ni ndogo sana such that na nywele zaota slowly.
Ni case ya kawaida kuna jamaa hunyoa nywele za kichwani kila baada ya 2 years wakati wenzake miezi 3 inakuwa Afro Shiraz
 
kwa sisi wapemba tunanyoa kila asubui jioni zimeota tena!ukikaa mwezi bila kunyoa huko chini kutajaa kama manywele ya yule mchezaji wa everton aliyeifunga manchester utd anaitwa maroune fellaini!
 
kuna jamaa anasema eti wanaonyoa mara nyingi ni malaya ni kwa wale walio single sasa sijui ukute mtoa mada ana dem
 
kuna jamaa anasema eti wanaonyoa mara nyingi ni malaya ni kwa wale walio single sasa sijui ukute mtoa mada ana dem

wanasema wapi haya maneno mfobi
 
Last edited by a moderator:
Every two weeks!!Ila vikianza kuota ni balaa!!Vinachoma mno!!!
Kuna mtu alisema vikichomoza vinaweza hata kutoboa DUME!!
 
Back
Top Bottom