Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,324
- 5,934
Acha kulinganisha Tarime na vitu vya kijinga kijinga, huku ni ulaya ndogo.
Ulaya ndogo mnachinjana kama kuku,
Acha kulinganisha Tarime na vitu vya kijinga kijinga, huku ni ulaya ndogo.
Bora uje uku kwetu Tarime ni vicheko tu full time
Social media namaanisha facebook na instagram sio humu JF unaweza tongoza dume lenzio au mtu asiejulikanaUnalazimisha Hicho Kilicho Kichwani Mwako Kiwe na Kwangu, Mimi Sipo Huko Mkuu, Nina Miaka Si Chini Ya Sita tangu niwe Jf, Nije Kutafuta Mrembo Leo?
Jamaa anaota kuwa na gariKabla ya kuja dar ulikua unaishi mtaa gani boss?
Kumbe Gari Ni Issue Eeh? Inashangaza Sana, Ungejua!! Wala hii Isingekua Topic HapaJamaa anaota kuwa na gari
Ok! Nimekuelewa! Nina Uwezo wa Kua Na Msichana Nimtakae, Pasipokutumia Nguvu, Hao Wa Social Media nawaachia Nyinyi Vijana Mliokata TamaaSocial media namaanisha facebook na instagram sio humu JF unaweza tongoza dume lenzio au mtu asiejulikana
lol...😂😂😂😂Hawapendi kuoga,
Sasa wakilazimishwa Furaha itoke wapi......!
Hahaha sawa mkuu laiti ungelijua usingelisema hivyo..Ok! Nimekuelewa! Nina Uwezo wa Kua Na Msichana Nimtakae, Pasipokutumia Nguvu, Hao Wa Social Media nawaachia Nyinyi Vijana Mliokata Tamaa
Hayo uliyoshuhudia Dar ni cha mtoto. Hebu ulizia wale ambao wanaishi au waliowahi kuishi jiji la Nairobi.Habari za Jioni Wadau Hopefully Mko Poa , Hongereni Sana kwa Long Weekend, Nimekuja Kwenu Tujadili Hili Suala, Ni Mimi tu ndio Naona hii au na Wenzangu mnaliona, Nimezaliwa Dar, Kwa Bahati Mbaya Maisha Yangu Ya Shule na Kazi Sijaishi Huku Hadi Nilipopata Uhamisho wa Kuja Kufanya Kazi.
Huku, Sometime Hua Napabda Public Transport nikiamua, Though Nina Usafiri Binafsi, Tatizo Linakuja Na Aina Ya Watu Unaokutana Nao, Muda Wote Wamenuna, Wengine hata Ukimsalimu Haitiki, Nyuso Hazina Nuru Kabisa, Hili Linasababishwa Na Nini? Sijazoea Kabisa hii Hali, Inasababibishwa Na Nini? Niko Serious Wadau.
Wala Sihitaji Kujua Mkuu! Ndio Maana Jf Ikawa PrivateHahaha sawa mkuu laiti ungelijua usingelisema hivyo..
Mbona vyuo vikuu vingi kwanini wanafunzi hawachangamshi mji?Hakuna sehemu mzunguko wa hela ni mdogo Kama iringa
Habari za Jioni Wadau Hopefully Mko Poa , Hongereni Sana kwa Long Weekend, Nimekuja Kwenu Tujadili Hili Suala, Ni Mimi tu ndio Naona hii au na Wenzangu mnaliona, Nimezaliwa Dar, Kwa Bahati Mbaya Maisha Yangu Ya Shule na Kazi Sijaishi Huku Hadi Nilipopata Uhamisho wa Kuja Kufanya Kazi.
Huku, Sometime Hua Napabda Public Transport nikiamua, Though Nina Usafiri Binafsi, Tatizo Linakuja Na Aina Ya Watu Unaokutana Nao, Muda Wote Wamenuna, Wengine hata Ukimsalimu Haitiki, Nyuso Hazina Nuru Kabisa, Hili Linasababishwa Na Nini? Sijazoea Kabisa hii Hali, Inasababibishwa Na Nini? Niko Serious Wadau.
Mkurugenzi kwani kwenye job description yako kunasehemu inasema kuwa una kazi ya kusalimia watu?. Nenda ulaya ndo utachoka ukimsalimia mtu anajiuliza kakukosea nini. So mdogo wangu nakushauri u mind your own business maisha yanasonga kwani society in evolve taratibu.Habari za Jioni Wadau Hopefully Mko Poa , Hongereni Sana kwa Long Weekend, Nimekuja Kwenu Tujadili Hili Suala, Ni Mimi tu ndio Naona hii au na Wenzangu mnaliona, Nimezaliwa Dar, Kwa Bahati Mbaya Maisha Yangu Ya Shule na Kazi Sijaishi Huku Hadi Nilipopata Uhamisho wa Kuja Kufanya Kazi.
Huku, Sometime Hua Napabda Public Transport nikiamua, Though Nina Usafiri Binafsi, Tatizo Linakuja Na Aina Ya Watu Unaokutana Nao, Muda Wote Wamenuna, Wengine hata Ukimsalimu Haitiki, Nyuso Hazina Nuru Kabisa, Hili Linasababishwa Na Nini? Sijazoea Kabisa hii Hali, Inasababibishwa Na Nini? Niko Serious Wadau.
Habari za Jioni Wadau Hopefully Mko Poa , Hongereni Sana kwa Long Weekend, Nimekuja Kwenu Tujadili Hili Suala, Ni Mimi tu ndio Naona hii au na Wenzangu mnaliona, Nimezaliwa Dar, Kwa Bahati Mbaya Maisha Yangu Ya Shule na Kazi Sijaishi Huku Hadi Nilipopata Uhamisho wa Kuja Kufanya Kazi.
Huku, Sometime Hua Napabda Public Transport nikiamua, Though Nina Usafiri Binafsi, Tatizo Linakuja Na Aina Ya Watu Unaokutana Nao, Muda Wote Wamenuna, Wengine hata Ukimsalimu Haitiki, Nyuso Hazina Nuru Kabisa, Hili Linasababishwa Na Nini? Sijazoea Kabisa hii Hali, Inasababibishwa Na Nini? Niko Serious Wadau.
Wanalala ovyo wanakula ovyo nuru inatoka wapi
Ujanja wao woote,wanaongozwa na FaFaFa flani hv ambaye hajawahi simamia jambo likatimia.Habari za Jioni Wadau Hopefully Mko Poa , Hongereni Sana kwa Long Weekend, Nimekuja Kwenu Tujadili Hili Suala, Ni Mimi tu ndio Naona hii au na Wenzangu mnaliona, Nimezaliwa Dar, Kwa Bahati Mbaya Maisha Yangu Ya Shule na Kazi Sijaishi Huku Hadi Nilipopata Uhamisho wa Kuja Kufanya Kazi.