😂😂😂 mkuu,samahani lakini, naona hutaki uonekane wewe ndio source ya hiyo taarifa. Dah! hofu zimetujaa. Jamani na mimi hizi taarifa nilisoma humu humu, msiniteke.Kuna post nilisoma humu, wanadai wali mkata kuanzia kucha kwenye vidole mbele yake, na badae wakenda muua na kwenda kuktumba kwemye mto wa mamba... NB nilisoma humu humu... sijui lolote kuhusu haya mambo mazito