Nyumba za mateso (Safe Houses) Uganda na kupotea kwa Ben Saanane Tanzania

Mkoloni alikuwa na akili sana na alitamani kuwavuruga kutuvuruga sisi kwa kutunga sheria gandamizi ili tuvurugane wao wakiwa wanachekelea kwa mbali huku sisi tukilia bila kujua tufanye nini
 
Zipo kila mahali... kila nchi wana safe house...


Cc: mahondaw
Acha uongo, Siyo Kila nchi, ni ktk mataifa ya kipumbavu na ya kidikteta Kama Tanzania, nchi zenye utawala bora, safe house za nini? Mtu Akifanya jinai atakamatwa na kufikishwa mahakamani ambako mahakama itaamua hatima yake.
Safe house kwa nchi za kishenzi Kama Tanzania ni kuweka watu ambao wanajua mahakamani watashinda kesi, huwekwa humo wakosoaji wa madikteta
 
Area 51 Siyo safe house, ni eneo la siri la Kijeshi la Marekani, hapo ndo pana zana zote nzito zaidi za Kijeshi
Wewe ulijuaje kama eneo ni la siri?

Na unapataje nguvu ya kumwambia mwenzako muongo wakati haupo hata kwenye ukurut wa jeshi la marekani?
 
Back
Top Bottom