Nyumba za mateso (Safe Houses) Uganda na kupotea kwa Ben Saanane Tanzania

Kuna post nilisoma humu, wanadai wali mkata kuanzia kucha kwenye vidole mbele yake, na badae wakenda muua na kwenda kuktumba kwemye mto wa mamba... NB nilisoma humu humu... sijui lolote kuhusu haya mambo mazito
😂😂😂 mkuu,samahani lakini, naona hutaki uonekane wewe ndio source ya hiyo taarifa. Dah! hofu zimetujaa. Jamani na mimi hizi taarifa nilisoma humu humu, msiniteke.
 
Achilia Saitoti, kama unamkumbuka mtaalamu IT ofisi ya tume ya uchaguzi pale Kenya walimkata hadi vidole.
Katika taifa lolote lile dunian adhabu ya msalit Ni kifo tu hakuna adhabu nyingne na ndio maana ukiwa mtu wa system ukiagizwa Kaz nje ya mipaka ukadakwa huwa unakanwa moja kwa Moja linakuwa lako Hilo
 
Kabisa mkuu.
 
😂😂😂 mkuu,samahani lakini, naona hutaki uonekane wewe ndio source ya hiyo taarifa. Dah! hofu zimetujaa. Jamani na mimi hizi taarifa nilisoma humu humu, msiniteke.
Mie nilisoma humu humu ndani... sina cha hofu kwasabu sina baya ambalo nimetenda
 
Kwani hawa wauaji, wanao watesa wenzao au wanaotowa amri wateswe au wakamataji na wanaofukia mizoga kisha wakaunyuti WANADHANI WAO HAWATAKUFA ama kwa namna ile ile au kwa namna nyingine ila hatimae watakutana na aliye waumba na wataulizwa kwa yale waliyo yafanya kwa wenzao.
MUNGU AMEANDAA MOTO KWA WENYE KUFANYA KIBURI DUNIANI NA VIONGOZI WANAOTUMIA NGUVU ZA DOLA KUWADHIBITI WAPINZANI WAO WASIOWANYANYULIA SILAHA BALI KWA KUSEMA TUU UKWELI FULANI AU MAPUNGUFU YAO FULANI,HUHUWAHUKUMU MATESO HADI KUFA.

Watajibu nini sikiu hio?
Mbele za Mfalme mwenye Nguvu zote.?
Naona watageuzwa Mishikaki kwa kutiwa msumari kichwani hadi sehemi ya haja kubwa na kutundikwa ndani ya moto wakizungushwa na mota ili wawive kila upande .
 
Kuna post nilisoma humu, wanadai wali mkata kuanzia kucha kwenye vidole mbele yake, na badae wakenda muua na kwenda kuktumba kwemye mto wa mamba... NB nilisoma humu humu... sijui lolote kuhusu haya mambo mazito
Mungu amnusuru.
 
mabeberu safe house uhifadhiwa washtakiwa wenye ushaidi ambao utasaidia kuwaunganisha na watu wengine tena wakubwa katika mnyororo wa makosa.
kuitwa safe house, wanatunzwa huko ili wasiuawe na hao ambao wasingependa jamaa atoe ushaidi ambao utahatarisha maslahi yao
 
Safe house zipo kila nchi, mnachoshindwa ni kutofautisha kazi yake.

Nadhan kibongo bongo zinatumika kutesea watu, lkn kiujalisia safe house hutumiwa na kitengo km sehem ya kuhifadhi watu(asset) ambao wako hatarini na wana maslahi makubwa kwa kitengo hasa wakati wa kukamilisha mission ya kitengo.
Acha uongo, Siyo Kila nchi, ni ktk mataifa ya kipumbavu na ya kidikteta Kama Tanzania, nchi zenye utawala bora, safe house za nini? Mtu Akifanya jinai atakamatwa na kufikishwa mahakamani ambako mahakama itaamua hatima yake.
Safe house kwa nchi za kishenzi Kama Tanzania ni kuweka watu ambao wanajua mahakamani watashinda kesi, huwekwa humo wakosoaji wa madikteta
 
Safe house a.k.a Makazi ni kama ile ya kule maeneo ya viwanda

Bi Gina wa CIA alikua ndio Mkuu wa Safe House huko mashariki ya mbali

Safe house sio lzm awekwe mhalifu ,pia hutumika pia kujihifadhi hata wao
 
Safe house zipo kila nchi, mnachoshindwa ni kutofautisha kazi yake.

Nadhan kibongo bongo zinatumika kutesea watu, lkn kiujalisia safe house hutumiwa na kitengo km sehem ya kuhifadhi watu(asset) ambao wako hatarini na wana maslahi makubwa kwa kitengo hasa wakati wa kukamilisha mission ya kitengo.
Yes uko sahihi, wengi wanajua ni kwa kutesea kumbe ina matumizi mengine km ulivyosema mdau

Huwa wana wahifadhi hata watu wao
 
mabeberu safe house uhifadhiwa washtakiwa wenye ushaidi ambao utasaidia kuwaunganisha na watu wengine tena wakubwa katika mnyororo wa makosa.
kuitwa safe house, wanatunzwa huko ili wasiuawe na hao ambao wasingependa jamaa atoe ushaidi ambao utahatarisha maslahi yao
Naam ndio safe house a.k.a Makazi
 
mabeberu safe house uhifadhiwa washtakiwa wenye ushaidi ambao utasaidia kuwaunganisha na watu wengine tena wakubwa katika mnyororo wa makosa.
kuitwa safe house, wanatunzwa huko ili wasiuawe na hao ambao wasingependa jamaa atoe ushaidi ambao utahatarisha maslahi yao
Humo ndani wana TV, gym na swimming pool, hata mpishi anaewapikia hatakiwi kuonana nao
 
mabeberu safe house uhifadhiwa washtakiwa wenye ushaidi ambao utasaidia kuwaunganisha na watu wengine tena wakubwa katika mnyororo wa makosa.
kuitwa safe house, wanatunzwa huko ili wasiuawe na hao ambao wasingependa jamaa atoe ushaidi ambao utahatarisha maslahi yao
Wanachanganya na Detention Houses
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom