Nyumba za mateso (Safe Houses) Uganda na kupotea kwa Ben Saanane Tanzania

Anayezuia wachunguzi huru wa kimataifa ndie anayejua alipo.Hawawezi kuwa hai hata sasa
Anayezuia wachunguzi huru ni Mbowe, na Mbowe ndiye aliyetoa CCTV camera eneo la tukio alipopigwa Lissu.

Sorry mkuu najaribu kuvaa viatu vya Lumumba Buku Saba.
 
Zipo kila mahali... kila nchi wana safe house...

Cc: mahondaw
Si kweli kwenye jamii za watu walioelimika na kustaarabika na zinazoheshimu raia wake huwezi kuta safe house,ni kwenye tawala za kishenzi za watu wasizoelimika ndo zipo.Ingia BBC eyes habari za kiuchunguzi utaziona za burundi na rwanda zikitirirsha damu za watu kwenye chemba za maji hadi dikteta nkurunziza akapiga marufuku BBC kuripoti habari za burundi.Ipo siku via satellite BBC eyes watatuonyesha za ununio na Mbweni.Hawa mapacha wanne Africa mashariki wanaroho chafu hatari awafai kwenye jamii za watu walioelimika kwa dunia ya sasa walifaa enzi za zinjatropas
 
Acha uongo, Siyo Kila nchi, ni ktk mataifa ya kipumbavu na ya kidikteta Kama Tanzania, nchi zenye utawala bora, safe house za nini? Mtu Akifanya jinai atakamatwa na kufikishwa mahakamani ambako mahakama itaamua hatima yake.
Safe house kwa nchi za kishenzi Kama Tanzania ni kuweka watu ambao wanajua mahakamani watashinda kesi, huwekwa humo wakosoaji wa madikteta
Hv unakujua "Guantanamo" waulize walio enda na kutolewa ngoz ya unyayo alafu muulize trump akupeleke Nevada hakuna watu wa shenz kwa tourture Kama wazungu
 
Si kweli kwenye jamii za watu walioelimika na kustaarabika na zinazoheshimu raia wake huwezi kuta safe house,ni kwenye tawala za kishenzi za watu wasizoelimika ndo zipo.Ingia BBC eyes habari za kiuchunguzi utaziona za burundi na rwanda zikitirirsha damu za watu kwenye chemba za maji hadi dikteta nkurunziza akapiga marufuku BBC kuripoti habari za burundi.Ipo siku via satellite BBC eyes watatuonyesha za ununio na Mbweni.Hawa mapacha wanne Africa mashariki wanaroho chafu hatari awafai kwenye jamii za watu walioelimika kwa dunia ya sasa walifaa enzi za zinjatropas
Kwa uongo uko vzr sana,hakuna nchi ambazo hazina safe houses.
 
Ile ni ya uchunguzi na utafutaji Wa maarifa na siri za nchi si za kuwauwa wakosoaji.Rwanda,burundi,uganda ni Kenya tu kwa Africa mashariki ndo atujasikia zikitumika kuwatesa na kuwauwa wapinzani
Kenya huijui vema mkuu.
Tena kenya ina mauaji ya kisiasa ya kimya kimya yaliyokithiri kuliko taifa lolote hapa Afrika mashariki na kati.
 
Acha uongo, Siyo Kila nchi, ni ktk mataifa ya kipumbavu na ya kidikteta Kama Tanzania, nchi zenye utawala bora, safe house za nini? Mtu Akifanya jinai atakamatwa na kufikishwa mahakamani ambako mahakama itaamua hatima yake.
Safe house kwa nchi za kishenzi Kama Tanzania ni kuweka watu ambao wanajua mahakamani watashinda kesi, huwekwa humo wakosoaji wa madikteta
Mkuu ww sio Mungu mpk uijue dunia.
Kila mahali hvyo vitu vipo nam support jamaa.
Hujui siasa za kila nchi usijipe mazito usiyoyaweza mkuu.
 
Wanasiasa waandamizi wakubwa kama kwa hawa mapacha wanne?
Eheeee kaka rejelea police killings ya 2007.
Kenya kuna mambo inashindwa tu kusema kuihofia jubilee.
Hujiulizi kwann Uhuru alipelekwa ICC ???
Kenya wana mauaji ya kisiasa ya kisiri tena kutumia police.
Wana massive police killings kaka usifananishe na Tz anakufa mtu mmoja mmoja.
 
Ile ni ya uchunguzi na utafutaji Wa maarifa na siri za nchi si za kuwauwa wakosoaji.Rwanda,burundi,uganda ni Kenya tu kwa Africa mashariki ndo atujasikia zikitumika kuwatesa na kuwauwa wapinzani
Saitoti alikufa kwa nini?
 
safe house-nyumba salama,hata wewe unaweza kuwa na safe house,inaweza ikawa nyumba jirani yako,sio lazima iwe ya kutesea watu,
 
Back
Top Bottom