Nyumba za mateso (Safe Houses) Uganda na kupotea kwa Ben Saanane Tanzania

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
10,526
13,013
Serikali ya Uganda imekili kuwepo kwa kilichoitwa SAFE HOUSES
kwa mujibu wa wakuu wa usalama wa Serikali ya Uganda nyumba hizo hutumika kwa ajili ya kuwahifadhi watu ambao kesi zao zinapelelezwa ili ushahidi usipotee.

Yaani badala ya kumhifadhi mharifu mahabusu wewe unamhifadhi kwenye nyumba za mateso?

Taarifa ilifika bungeni na wabunge kupitia kamati husika wakaenda ili kujua kilichomo ndani?

Chakushangaza ni kwamba wasimamizi wa NYUMBA HIZO/ wanajeshi waliwakatalia kuingia humo ndani
Haikuishia hapo ilibidi wale wabunge akiwemo Bob Brown wakawaita ndugu na watu waliowahi kuwekwa humo waliyasimulia mateso na adha zote walizopewa wakiwa humo (source, DW mchana)

Kama hivi ndivyo nikajiuliza kwamba yawezekana ndugu Ben bado yupo kwenye majumba hayo akiendelea kusulubiwa kwa amri ya bwana mkubwa.

Ilkumbukwe hata Ulimboka alikili kuingizwa kwenye nyumba kama hiyo.

naitaka serikali ya bwana MAGUFULI imwachie ndugu Ben sanane ili arudi kwa familia yake. pia ndugu kagoye wa kule kigoma nae arudishwe kama hajafa bado
Kama aliweza kumwambia angetambani atawale uganda ili awanyooshe basi hapa kwetu hizi nyumba zipo nyingi kweli.
Nawasilisha.

Damu ya kijana wa MAKAMBAKO aliyepigwa na mapolisi kwa amri ya rais "waache kwanza wamnyooshe' itamuandama hata akiwa.

Kijana yule aliyedhaniwa ni wa CHADEMA hakuwa na kosa lolote zaidi ya kutaka kufikisha ujumbe wake kwa anayejiita mtetezi wa wanyonge lakini anatembea na uzio wa chuma kuzuia kufikiwa na wanyonge anaodai anawapenda?
 
Sawa "mpiga polishi/mchoma mishikaki" nyinyi tu ndio mliobarikiwa na "wakristo" wa Kweli
 
Kuna post nilisoma humu, wanadai wali mkata kuanzia kucha kwenye vidole mbele yake, na badae wakenda muua na kwenda kuktumba kwemye mto wa mamba... NB nilisoma humu humu... sijui lolote kuhusu haya mambo mazito
Sasa mbona mamba hali mzoga?
 
Kuna post nilisoma humu, wanadai wali mkata kuanzia kucha kwenye vidole mbele yake, na badae wakenda muua na kwenda kuktumba kwemye mto wa mamba... NB nilisoma humu humu... sijui lolote kuhusu haya mambo mazito
Wengine wanasema kuna li-chatu kwenye nyumba gani sijui, hivyo watu hufanywa lunch ya hilo dudu.
 
Kwa Jinsi Lissu Alivyomiminiwa Risasi Sizani Kama Ben Saanane Yupo!

"Kama Yupo Atakuwa Maeneo Ya Ostarbay, Masaki Au Bunju"

Mo Anayo Majibu.... Siasa Ya Hii Nchi Ni Ngumu Sana"
Ndugu zao mnawajua vzr dawa ni kudeal na ndugu zao na watoto wao
 
Ok kwakuwa Uganda Wana safe house conclusion Ben saa nane yupo kwenye safe house
Ningeshauri mumuulizee Kwanza kubenea huenda mbowe anamiliki safe house

Ingeshajulikana kwani ye ndo kakataa wachunguzi huru Wa nje
 
Back
Top Bottom