Nyumba yenye thamani ya Tshs. Trillion 1 hapa bongo

Nyumba yenye thamani ya Tshs. Trillion 1 hapa bongo

Likizo yangu ya kwanza kurudi bongo kutoka Denmark nilirudi na dola elfu tatu. Ilikuwa hatarii aiseee nilipozichenji. Niliitwa bilionea biga miti wake za watu sana. Nywesha maboya bia kama sina akili nzuri. Kwa mda wa wiki mbili palikuwa hapashikiki kitaa.

Zilipokaribia kuisha huyoo nikaenda mafichoni kuepuka aibu na kusibiri siku ya return ticket yangu.

Bongo badooooo sana

Tutaaminije🤔
 
Kwani hadi sasa mmeshavuta misokoto mingapi ya bange?
Ni wapi ili tuwatonye mapolisi waje kuwapa msaada?
badala kushindana kutafuta pesa mnashindania akili za bange! Shuwaini!
 
Kwanza nitoe pole kwa watanzania kwa msiba mzito uliotukuta.

Hivi kuna nyumba yenye thamani ya tshs. Trillion 1 hapa Tanzania?

Tunabishana hapa baada ya tajiri mkubwa India kumiliki mjengo wa ghorofa 7 wenye thamani ya trillion 2.3 za kobongo.
Kuna jamaa anadai posta na k.koo kuna mijengo ya thamani hiyo.

Wanaojua ukweli watujuze. Ikibidi watupe pia orodha ya majengo ya gharama zaidi duniani na bongo pia. Karibuni.
Majengo mengi makali ya maofisi unayoyaona Bongo mengi yamekula 30B mpaka 100B!
Pita bagamoyo Road Mwenge-Posta tu ile hamna ghorofa iliotoboa 100B+ likivuka hapo jua ni kwa upigaji!
 
Simple and Clear, HAKUNA! Hakuna hata unaofikia Sh. 500 Billion! Just imagine ule mradi wa NSSF Kigamboni! Pamoja na watu kupiga lakini mradi mzima hata ungekamilika usingefika hata hiyo 500 Billion! Tufanye kusikia tu akina Dangote wana utajiri wa matrilioni ya shilingi!

Magu kalia weeeee, eti kisa kalala hotel ambayo gharama zake kwa siku ni kama 8M TU! Ukiwa na Trillion, halafu unaamua kuishi kwenye ile hotel, basi utaishi humo kwa angalau siku 125,000,sawa na miaka 342! Kwa maana nyingine, pamoja na ma-inflation nini na nini, bado Trilioni 1 itawawezesha watoto wachanga 3 wanaozaliwa leo kuishi kwenye hiyo hotel maisha yao yote, na chenji ya kutosha ikabaki!
T1 sio mchezo kmmmk unakufa na chenchi inabaki mzee! Watu wanafanya mchezo na Trillion aisee.
 
Mradi wa Morocco square pale kinondoni ni 137b, hatuna jengo au mradi wa tilioni so far
Hio 37 iko namna tu. Bongo majengo Mengi yanakuwa Overstated ili watu wapige Hela. Hamna jengo ambalo linavuka 100B kihalali.

Hio Morroco square ni kubwa kuliko lile jengo la Tanzania House of Business? Jengo ambalo lina makao makuu ya Acacia na Huawei lile.
 
Likizo yangu ya kwanza kurudi bongo kutoka Denmark nilirudi na dola elfu tatu. Ilikuwa hatarii aiseee nilipozichenji. Niliitwa bilionea biga miti wake za watu sana. Nywesha maboya bia kama sina akili nzuri. Kwa mda wa wiki mbili palikuwa hapashikiki kitaa.

Zilipokaribia kuisha huyoo nikaenda mafichoni kuepuka aibu na kusibiri siku ya return ticket yangu.

Bongo badooooo sana
Bongo Nyoso balaa. Ukiwa na Usd5000 tu ukasema uichenji kisha ufanye vituko mjini, utakula bata la laana. Maana Pombe za laki 6 tu watu wanagalala 🤣🤣🤣🤣 🤣!

Sasa imagine una 10M utawafanyaje chawa?
 
Navuta picha lile Jengo refu Dubai Burj Khalifa ujenzi wake ulicost zaidi ya trillion 3 ya kitanzania. Bonge la jengo gorofa 160 mwanangu.

Je bongo jengo refu kuliko yote lina urefu wa gorofa ngapi?

Number of flow doesn't mean kwamba ndo litakuwa refu...urefu wa flow na flow utamatter pia

Kuna jengo lima gorofa 8 tofaut kidogo sana na lenye 15 karbu yalingane
 
Bongo Nyoso balaa. Ukiwa na Usd5000 tu ukasema uichenji kisha ufanye vituko mjini, utakula bata la laana. Maana Pombe za laki 6 tu watu wanagalala [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787]!

Sasa imagine una 10M utawafanyaje chawa?
Nilikuja likizo mwaka 2012, nikawa nimebeba zawadi nyingi. Nilitumia kama $18,000 kwa safari nzima.

Kufika airport, nawaambia hizi ni zawadi kwa wanafamilia tu, hawakuamini. Wakataka kunitoza kodi kama mfanyabiashara.

Hawakuamini kwamba mtu anaweza kuja na zawadi kiasi kile kwa familia.

Na mimi nikashindwa kuelewa wasichoamini ni nini.
 
Wasichoamini kwamba una upendo kiasi hicho, ungeshona container tu kabisa.
 
Ubishi hapo kwishnei ]
Screenshot_20200729-175736.jpg
Screenshot_20200729-175746.jpg
Screenshot_20200729-175722.jpg
Screenshot_20200729-175805.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • Screenshot_20200729-175608.jpg
    Screenshot_20200729-175608.jpg
    26.9 KB · Views: 11
Back
Top Bottom