Nyumba yenye thamani ya Tshs. Trillion 1 hapa bongo

Nyumba yenye thamani ya Tshs. Trillion 1 hapa bongo

Mkuu kwanza umekosea kichwa Cha Habari, Unayozungumzia wewe siyo nyumba Tena Bali Ni ghorofa, huenda hapo ndiyo ubishi wenu unaanzia, Ila jibu Ni hapana kwa hapa Tanzania.

Morocco Square pale Dar karibu na Airtel HQ. Imegharimu Billion 500/=Tsh. Wewe unazungumzia Trillion!! Siyo kwelii.
images (54).jpeg
 
Hahah mzee baba hakuamini bongo hii hii kuna hotel ya 8mil/day pamoja na kubana kote hahah,kuna hotel flani iko kule Serengeti minimum room rate ni $2100/day na through out the year iko booked kwa 90% na sio hata wazungu ndo wanaijaza karibu 40% ni wabongo tu wanaenda zao kula good time.

Maisha haya yana ma-gap kinyama.
Kuna andiko nililiona last week la Hoteloja iko Mafia, per day ni US$ 25000 na pale unaanza kukaa kwa angalau siku 5.

Sijui ni kweli!?
 
wabongo nyoso
Muda huu kabla ya kuja kwenye uzi huu nilikuwa najiuliza jengo la kuwezesha makazi ya watu 300 kila mtu akiwa na chumba self, sebule, na jiko. Badala ya kujenga vibanda vingi serikali ikazuia watu kujenga katikati ya mji ili yajengwe maghorofa tu kubana matumizi ya nafasi. Kampuni binafsi ikijenga itatumia kama Bilioni ngapi.
 
Likizo yangu ya kwanza kurudi bongo kutoka Denmark nilirudi na dola elfu tatu. Ilikuwa hatarii aiseee nilipozichenji. Niliitwa bilionea biga miti wake za watu sana. Nywesha maboya bia kama sina akili nzuri. Kwa mda wa wiki mbili palikuwa hapashikiki kitaa.

Zilipokaribia kuisha huyoo nikaenda mafichoni kuepuka aibu na kusibiri siku ya return ticket yangu.

Bongo badooooo sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti zilipokaribia kuisha ukaenda kujificha kuepuka aibu.
 
Kuna andiko nililiona last week la Hoteloja iko Mafia, per day ni US$ 25000 na pale unaanza kukaa kwa angalau siku 5.

Sijui ni kweli!?
Hahah siku hizi hata hua sibishi mambo mengine mkuu, maana bongo hapa hapa kuna mambo mtu anaweza asiamini lkn unakuta yapo tu.
 
lipo hili Hapa

View attachment 1177722

Aliyechora hiyo ramani ni mmarekani architect bora zaidi duniani aliyechora nyumba ya donald trump

Nyasi hizo zilizoezekwa zilinunuliwa ufaransa kwenye duka gali sana la kuuza nyasi bora duniani na zilisafirishwa kwa ndege ya kukodi ya AIR FRANCE

Hizo fito zilinunuliwa brazil zikaletwa na ndege ya kukodi ya ethiopian airline

milango ilinunuliwa china na kuletwa na ndege ya kukodi ya china

kampuni iliyojenga ni ile iliyojenga majengo ya umoja wa mataifa

udongo uliotumika kujenga ulinunuliwa ujerumani ukaletwa kwa ndege ya kukodi swiss air

vibarua waliotumika ni kutoka japan kila mmoja alilwetwa kwa ndege ya kukodi



hiyo nyumba mpaka kukamilika hapo imetumia trilioni moja
iyo nyumba imejengwa kwa nguvu ya buku na sio trillion
 
Muda huu kabla ya kuja kwenye uzi huu nilikuwa najiuliza jengo la kuwezesha makazi ya watu 300 kila mtu akiwa na chumba self, sebule, na jiko. Badala ya kujenga vibanda vingi serikali ikazuia watu kujenga katikati ya mji ili yajengwe maghorofa tu kubana matumizi ya nafasi. Kampuni binafsi ikijenga itatumia kama Bilioni ngapi.
100B inatosha!
 
Usifanye masikhara na Trilioni wewe!! Ile mijengo ya Kina 50cent sijue ekari 20 ,vyumba 100 ,amusement park ,uwanja wa basket ,na bla bla kibao alinunua 4m usd tu( ni kama 10B)....Majumba ya kitajiri yaliyo pembeni mwa lake ya kina Diddy /SHark Oneal etc hayazidi 20m USD kwhyo usichukulie poa Trilioni.
 
Back
Top Bottom