Smiling killer
JF-Expert Member
- May 1, 2018
- 1,290
- 1,126
Huyo anayekuambia dar kuna nyumba ya trillion moja hana uelewa wa hela ansfikiria trillion moja ni hela ya mchezoKwanza nitoe pole kwa watanzania kwa msiba mzito uliotukuta.
Hivi kuna nyumba yenye thamani ya tshs. Trillion 1 hapa Tanzania?
Tunabishana hapa baada ya tajiri mkubwa India kumiliki mjengo wa ghorofa 7 wenye thamani ya trillion 2.3 za kobongo.
Kuna jamaa anadai posta na k.koo kuna mijengo ya thamani hiyo.
Wanaojua ukweli watujuze. Ikibidi watupe pia orodha ya majengo ya gharama zaidi duniani na bongo pia. Karibuni.

