Mkuu hiyo pesa ni karibia utajiri wake woteUle wa Mzee wetu the late Mengi kule Machame nilisikia unathamani ya T 1 sijui ni kweli....wenye data mlete hapa..
hivi material gani zimetumuka hapo maana bado naumiza kichwa ni la dhahabu tuu auHuyo unaebishana nae mwambie aache kubishana kijinga, Mukesh Ambani achana na mjengo wake
View attachment 1177845View attachment 1177846View attachment 1177847
imegine limebeba alafu linapinduka nazo alafu..........Hivi watu wanazungumzia kiutani utani trillion eeeh? Hivi unajua pesa hiyo hata semitrella haibebi
mh...Mkuu hiyo pesa ni karibia utajiri wake wote
Tunaenda kuchota na vidumuimegine limebeba alafu linapinduka nazo alafu..........
zito alisema unaweza kuzipanga chini msimbazi mmoja mmoja toka dar hadi uganda then south africa harafu unarudi dar tenaHivi watu wanazungumzia kiutani utani trillion eeeh? Hivi unajua pesa hiyo hata semitrella haibebi
hahaha si mchezoHarafu hiyo hela ikichenjiwa kitanzania semi mbili haziendi kwa kuibeba. Labda waongeze na mafuso kadhaa!!!
Alaf nakuja huku navuta nyotaTunaenda kuchota na vidumu
mh...
hizo ndo ajali za maana sasaimegine limebeba alafu linapinduka nazo alafu..........
......Hivi Billion 1,000 ndio sawa na Trillion 1 eeh?
Au Million moja ziwe mara Million moja ndio sawa na Trillion?
Noma sana hayo mahesabuSimple and Clear, HAKUNA! Hakuna hata unaofikia Sh. 500 Billion! Just imagine ule mradi wa NSSF Kigamboni! Pamoja na watu kupiga lakini mradi mzima hata ungekamilika usingefika hata hiyo 500 Billion! Tufanye kusikia tu akina Dangote wana utajiri wa matrilioni ya shilingi!
Magu kalia weeeee, eti kisa kalala hotel ambayo gharama zake kwa siku ni kama 8M TU! Ukiwa na Trillion, halafu unaamua kuishi kwenye ile hotel, basi utaishi humo kwa angalau siku 125,000,sawa na miaka 342! Kwa maana nyingine, pamoja na ma-inflation nini na nini, bado Trilioni 1 itawawezesha watoto wachanga 3 wanaozaliwa leo kuishi kwenye hiyo hotel maisha yao yote, na chenji ya kutosha ikabaki!
kumbe ni chadema mi nilijua mkaguzi mkuu wa serikali ndo alitoa data hizoWatu waliofanya watu wawe na mawazo kama hayo kufikiri kama trillion 1 ni hela ya mchezo hivyo ni maroporopo ya chadomo, walifikiri kusema kuna ufisadi wa trillion 1.5 ndani ya mwaka mmoja nchi ingechafuka.