Mkuu mbona hayo majengi mawili siyajui Morocco Square lipo wapi na hilo Tz house of Business.Hio 37 iko namna tu. Bongo majengo Mengi yanakuwa Overstated ili watu wapige Hela. Hamna jengo ambalo linavuka 100B kihalali.
Hio Morroco square ni kubwa kuliko lile jengo la Tanzania House of Business? Jengo ambalo lina makao makuu ya Acacia na Huawei lile.
Daraja la Kigamboni ni Bilion 250. Kwa hiyo tunataka nyumba ama mjengo wa ghorofa zozote zile uwe na thamani ya madaraja kama hayo 4.Mloganzila tu dadeki ni 206 Billion sasa trillion daah balaaa...!!
Jua kutofautisha herufi mkuu, Kuna MILLION, BILLION, TRILLION etc.. trillion ina billion 1000Ali Kiba mbona ana jengo la Trillion 1 japo hapendi show off.
Hili jengo nalionga tu kumbe linajina lake hapa kuna Base na shughuri gani sana.Mkuu kwanza umekosea kichwa Cha Habari, Unayozungumzia wewe siyo nyumba Tena Bali Ni ghorofa, huenda hapo ndiyo ubishi wenu unaanzia, Ila jibu Ni hapana kwa hapa Tanzania.
Morocco Square pale Dar karibu na Airtel HQ. Imegharimu Billion 500/=Tsh. Wewe unazungumzia Trillion!! Siyo kwelii.View attachment 1520619
Hiyo nyumba ipo sayari ya Mars??.Ali Kiba mbona ana jengo la Trillion 1 japo hapendi show off.
Tanzania House of Business liko pembeni ya sheli ya victoria. Juepe refu Limekaa kama kikapu flani cha ukili.Mk
Mkuu mbona hayo majengi mawili siyajui Morocco Square lipo wapi na hilo Tz house of Business.
Tanzania House of Business liko pembeni ya sheli ya victoria. Juepe refu Limekaa kama kikapu flani cha ukili.
View attachment 1521293
Hilo la Morroco Square ndio silijui
Ni nani ??Hilo jengo ni la mtu binafsi alafu hana hata makuu. Yupo Simple sana
Vipi kuhusu lile jengo lambele pale baada ya Tanzanite Park ni jengo linalopendwa sana linaDeal na ishu gani ??Tanzania House of Business liko pembeni ya sheli ya victoria. Juepe refu Limekaa kama kikapu flani cha ukili.
View attachment 1521293
Hilo la Morroco Square ndio silijui
Bajeti ya Mambo ya nje imeishinda ile ya viwanda na biashara!Kwa mwaka 2019/2020 budget za baadhi ya wizara zilikua:
Wizara ya Habari,Utamaduni Sanaa na Michezo=Tsh. 30.88bil
Wizara ya madini=Tsh 49.46bil
Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zilizo chini yake=TshSh148.8bil
Viwanda na biashara=Tsh 100.38bil
Wizara ya sheria=Tsh 55.18bil
Mambo ya nje=Tsh 166bil
Wizara ya Kilimo= Tsh 253.85 bilioni
Ukijumlisha hizo budget za hizo wizara 7 unapata Tsh. Bil 805 na bado zinabaki chenchi kama bil. 195 za kula bata.
Tsh.Trilioni 1 ni pesa nyingi sana mzee.
Last time nimepita lilikuwa under construction, sijui shughuli zinazofanyika ni zipi mpaka sasa.Vipi kuhusu lile jengo lambele pale baada ya Tanzanite Park ni jengo linalopendwa sana linaDeal na ishu gani ??