Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,436
- 23,102
Watanzania bwana.Haya nadhani ni matokeo ya idleness.Badala ya kuhangaika ukapata cha kwako unajadili na kusifia vya wenzako.Hovyo kabisa.Kwanza nitoe pole kwa watanzania kwa msiba mzito uliotukuta.
Hivi kuna nyumba yenye thamani ya tshs. Trillion 1 hapa Tanzania?
Tunabishana hapa baada ya tajiri mkubwa India kumiliki mjengo wa ghorofa 7 wenye thamani ya trillion 2.3 za kobongo.
Kuna jamaa anadai posta na k.koo kuna mijengo ya thamani hiyo.
Wanaojua ukweli watujuze. Ikibidi watupe pia orodha ya majengo ya gharama zaidi duniani na bongo pia. Karibuni.