YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,050
lipo hili HapaBongo jengo kama jengo la thamani ya Trillion 1 sidhani kama lipo.
Aliyechora hiyo ramani ni mmarekani architect bora zaidi duniani aliyechora nyumba ya donald trump
Nyasi hizo zilizoezekwa zilinunuliwa ufaransa kwenye duka gali sana la kuuza nyasi bora duniani na zilisafirishwa kwa ndege ya kukodi ya AIR FRANCE
Hizo fito zilinunuliwa brazil zikaletwa na ndege ya kukodi ya ethiopian airline
milango ilinunuliwa china na kuletwa na ndege ya kukodi ya china
kampuni iliyojenga ni ile iliyojenga majengo ya umoja wa mataifa
udongo uliotumika kujenga ulinunuliwa ujerumani ukaletwa kwa ndege ya kukodi swiss air
vibarua waliotumika ni kutoka japan kila mmoja alilwetwa kwa ndege ya kukodi
hiyo nyumba mpaka kukamilika hapo imetumia trilioni moja