Nyumba ya chumba, sebule, jiko, choo inaingia bati mita ngapi?

Nyumba ya chumba, sebule, jiko, choo inaingia bati mita ngapi?

Aisee hatari sana halafu jamaa wa alaf wanauza bati Moja bei 81000
zipo bati za kila aina na kuna bati.pia alaf za 42,000 au nenda kwa wachina zipo moaka za 30,000 nazo ni nzuri tu kwenye bati machaguzi yapo mengi,mie nakushauri piga kenchi kwanza,fundi akupimie saizi ya kenchi nenda kiwandani watakutengenezea bati saizi na kenchi yako
 
kupaua hesabu haifanywi hivyo,hesabu ya bati hutokana na aina ya kenchi au mtindo wa kenchi ulivyopiga,ila kaa ukijua kenchi na bati ni gharama kubwa na kwa wastani sio chini ya milioni 10
Embu acheni kumtisha, nimepaua nyumba juzi tu ya vyumba vitatu

Bati peke yake za ALAF ata milioni tatu haikufika, tena hizo ni zile za migongo myembamba.

MKUU NENDA ALAF achana na wababaishaji huko mtaani
 
Embu acheni kumtisha, nimepaua nyumba juzi tu ya vyumba vitatu

Bati peke yake za ALAF ata milioni tatu haikufika, tena hizo ni zile za migongo myembamba.

MKUU NENDA ALAF achana na wababaishaji huko mtaani
Duuh kidogo umenipa moyo mkuu
 
Ivi huwamnashindwa nini kutafuta mafundi wawapime sasa humu watu hawajui hata vipimo wanakusaidiaje
 
hii nyumba inachukua bati 54 sawa na bando 3 na bati 6
 
Naombeni Kwa mlliojenga au mafundi mnaojua chumba sebule jiko choo inaingia bati mita ngapi maana nimeuliza bati naona kichwa kinawaka moto aisee mwenye kujua anisaidie nimeuliza alafu mita 1 Bei 27000 kwahiyo bati Moja Lina mita 3 sawa na 81000 jumla hii ni hatari aisee
Achana na bati za kupima,kama unajenga nyumba ndogo
 
Kwanini mkuu nipe elimu Mimi sijui Chochote kwenye hii sekta jamii forum ndio msaada wangu
Hao wanaokwambia MITA ni elfu 27, watakua madalali

Hiyo elfu 27 ni Bei ya Bati zima lililokamilika la MITA 3 Kwa makampuni Kama kiboko,sunshare,kinglion n.k
 
Mwongozo WA namna ya kuhesabu bati, Kuna Uzi nilishaeleza humu
 
Back
Top Bottom