Scared
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,886
- 17,592
Naombeni Kwa mlliojenga au mafundi mnaojua chumba sebule jiko choo inaingia bati mita ngapi maana nimeuliza bati naona kichwa kinawaka moto aisee mwenye kujua anisaidie nimeuliza alafu mita 1 Bei 27000 kwahiyo bati Moja Lina mita 3 sawa na 81000 jumla hii ni hatari aisee