Sasa kufungiwa kuona bunge time za kazi ndiyo umedhulumiwa?
Badala ya kushukuru umesaidiwa uende ukafanye kazi za kukuingizia kipato wewe unalialia.
double standardVipi Hawa Waandishi Wanaoandamana Na Wakuu Wa Wilaya, Mikoa Na Hata Mawaziri Kufanya Political Show Off Hawaongezi Gharama Kwa Serikali?
umeeleza vyemaMahitaji na shauku za binadamu hubadilika, leo watanzania wengi wanashauku ya kuona mafisadi wote wanatumbuliwa. Je, shauku hii haitaisha? Ikitokea mafisadi wote wametumbuliwa na kufia gerezani watanzania watakaa kusherekea miaka yote? jibu HAPANA watadai maisha bora. Baada ya maisha bora watadai uhuru! Kuna nchi watu wake walilipiwa hata gharama ya harusi zao na serikali yake lakini walipokosa uhuru kilichotokea wote tunakijua. Mtu yeyote anayefikiri binadamu anahitaji maisha bora bila uhuru atakuwa anakosea!
tunaelekea kubaya,hawa wanaoshangilia wanaona wanawakomoa upinzani bila kujua mwananchi ndiye anayepiganiwa haki zake
Nasubiri viwanda vifufuliwe nikaombe kazi.Shame on me? No, shame on u brother, kwani hakuna namna nyingine ya sisi kujulishwa kilichokuwa kikiendelea Bungeni iwe na Wabunge wetu au hizo Media, badala ya watu kukaa mwanzo mwisho wanaangalia live, nyinyi hamna kazi za kufanya?
Nimecheka sana, serikali ya viwanda iko shida
Mimi namshangaa Ngosha anachoogopa ni nii? Kama anasema tumuombee sisi watanzania huku anatuwekea ukungu kwenye mambo yanayotuhusu si muelewi vile!
Bunge kuonyeshwa au kutokuonyeshwa live, kunawapunguzia nini Wabunge jukumu lao la kuishauri na kuisimamia Serikali?
Wakae ndani humo humo waisimamie Serikali kwa hoja zenye mashiko sio fitina fitina na uchochezi tu, baadhi Wabunge wanataka kugeuza Bunge kama ukumbi wa kufanya siasa ili kujipatia umaarufu mwepesi mwepesi huku wakionekana live.
Sasa tuone kama Bunge lisiporushwa live watatueleza walikwenda Bungeni kuonekana live, au walikwenda kuwasilisha hoja za msingi juu ya matatizo ya wananchi na kuisimamia Serikali kuhakikisha inawajibika?
Kanisome tena.
Wenje yupo bungeni?
We bibi unazeeka vibaya
Kweli mkuu,wapinzani walioko bungeni wameingia kwa uwezo wao binafsi.Wengi ni wapambanaji hodari,si kama ccm ambako kuna wabunge mpaka unashangaa kapitaje,hawezi hata kujenga hoja ikaeleweka.