Mimi namshangaa Magu anachoogopa ni nii? Kama anasema tumuombee sisi watanzania huku anatuwekea ukungu kwenye mambo yanayotuhusu si muelewi vile!
Bunge LA 2010 to 2015....lilishusha heshima ya Bunge....maadili mabovu ya wabunge Wa upinzani...linatakiwa Bunge lisiwe live...litawapunguza MISIFA wabunge Wa Upinzani.......
yeye mwenyewe ni mpenzi wa clouds 360 kipindi ambacho kipo siku za kazi tu saa 12 mpaka saa 4 asubuhi,kuna haja ya kipindi hiki kutorushwa live ili Rais aangalie recorded usiku.Nadhani kuna watu bado hawajamuelewa magufuli!!!OK ni moja ya marais hapa Nchini anayependa na mwenye maono ya Tanzania mpya anahitaji ufanye kazi kisha vipindi vya bunge utaonyeshwa ukiwa umepumzika yaani baada ya kazi(baadhi)hii itaondoa dhana ya wale wanaorundikana asubuhi kwa watu kuangalia bunge bila kutimiza protocol ya kazi tu
Kwanza nikuweke sawa kuwa kuitika ndioo ni utaratibu mujarabu katika kupitisha baadhi ya maadhimio ndani ya mabunge au vikao mbalimbali. Hivyo ni kitendo cha kujitoa akili kuchukia wakati utaratibu huu ukitumika katika bunge la Tanzania. Nimetaka niliseme hili kwa maana wanachama wa chadema wamekuwa na mzio kuhusu utaratibu huu.Huu ndio ujinga wa wengi,elimu ya uraia bado inahitajika.Hivi umesahau kwanini samweli sitta alitoswa uspika akapata Anne Makinda?Hujui kuwa chama kilichukizwa na hatua yake ya kuruhusu mijadala ya ufisadi bungeni ambayo ilikuwa imeshikiliwa na upinzani?Hukumbuki maneno ya Chenge kuwa bora wakose wote?Hivi hukuona mjadala wa Escrow wabunge wengi wa ccm walivyowageuka watz na kutetea mafisadi?Hivi huoni wabunge wengi wa ccm kugeuka wasemaji wa serikali kana kwamba wao ni mawaziri pale serikali inapokuwa imebanwa na bunge?Jamani hadi zile ndiyoooo kwa maswala ya kijinga yasiyo na manufaa kwa wananchi huzionagi?kujitoa ufahamu kipaji,sio kila mtu anawez,hongera kwa hilo
Ngoja apewe chama,nyie wenye akili ndogo mtakimbia chama.....ujumbe wako ni jipu.Kwanza nikuweke sawa kuwa kuitika ndioo ni utaratibu mujarabu katika kupitisha baadhi ya maadhimio ndani ya mabunge au vikao mbalimbali. Hivyo ni kitendo cha kujitoa akili kuchukia wakati utaratibu huu ukitumika katika bunge la Tanzania. Nimetaka niliseme hili kwa maana wanachama wa chadema wamekuwa na mzio kuhusu utaratibu huu.
Tatizo la Mzee Sita mpaka ccm hawakutaka aendelee kwa mujibu wao ni kwamba hakuwa anauacha mjadala ujiendeshe kwa wenye uzito wa hoja washinde mjadala. Badala yake alikuwa anavutwa na mjadala na kujikuta anachukuwa upande. Mengine yote alifanya mazuri
Mjadala wa Escrow ulikuzwa na wale wanaccm waliokuwa wanakiu ya kuwania uteuzi wa urais kupitia ccm. Hali hiyo iliwagawa hata kwa hoja ambazo kimsingi hazikuwa na uzito.Hivyo mgawanyo huu ndio uliofanya maazimio hayo ya funika kombe yakafanywa. Umeona baada ya mwnaharamu kupita nini kinachoendelea nafikiri hata Jaji Werema angekuwa hajastaafu angekuwa jaji wa mahakama ya Rufaa.
Hivyo kaa ukaavyo wapinzani hawawezi kuyumbisha serikali kwa hoja ambazo hazina tija kwa wanaccm. Wanatakiwa wawe wanadandia maswala wanayosikia ccm hawaridhiki nayo na kusubiri waungwe mkono. Mfano mzuri umemsikia Msigwa akilalamika kuwa wabunge wa ccm wanataka bunge lirushwe lakini wanasemea chinichini na kuahidi kuwataja kama njia ya kuwashinikiza wawaunge mkono. Mabadiliko yoyote yanayotokea kutokana na usimamizi wa bunge ni juhudi za wabunge wote kwa ujumla wao hasa wa CCM mle ndani wao ni kilakitu.
Waambieni wabunge wenu wasusie bunge.
Waambieni wabunge wenu wasusie bunge.
Waambieni wabunge wenu wasusie bunge.
Waambieni wabunge wenu wasusie bunge.
Naona unajifanya huelewi sijui kwa manufaa ya nani!Akili za wabunge wa ccm ziko hivi;Kwanza nikuweke sawa kuwa kuitika ndioo ni utaratibu mujarabu katika kupitisha baadhi ya maadhimio ndani ya mabunge au vikao mbalimbali. Hivyo ni kitendo cha kujitoa akili kuchukia wakati utaratibu huu ukitumika katika bunge la Tanzania. Nimetaka niliseme hili kwa maana wanachama wa chadema wamekuwa na mzio kuhusu utaratibu huu.
Tatizo la Mzee Sita mpaka ccm hawakutaka aendelee kwa mujibu wao ni kwamba hakuwa anauacha mjadala ujiendeshe kwa wenye uzito wa hoja washinde mjadala. Badala yake alikuwa anavutwa na mjadala na kujikuta anachukuwa upande. Mengine yote alifanya mazuri
Mjadala wa Escrow ulikuzwa na wale wanaccm waliokuwa wanakiu ya kuwania uteuzi wa urais kupitia ccm. Hali hiyo iliwagawa hata kwa hoja ambazo kimsingi hazikuwa na uzito.Hivyo mgawanyo huu ndio uliofanya maazimio hayo ya funika kombe yakafanywa. Umeona baada ya mwnaharamu kupita nini kinachoendelea nafikiri hata Jaji Werema angekuwa hajastaafu angekuwa jaji wa mahakama ya Rufaa.
Hivyo kaa ukaavyo wapinzani hawawezi kuyumbisha serikali kwa hoja ambazo hazina tija kwa wanaccm. Wanatakiwa wawe wanadandia maswala wanayosikia ccm hawaridhiki nayo na kusubiri waungwe mkono. Mfano mzuri umemsikia Msigwa akilalamika kuwa wabunge wa ccm wanataka bunge lirushwe lakini wanasemea chinichini na kuahidi kuwataja kama njia ya kuwashinikiza wawaunge mkono. Mabadiliko yoyote yanayotokea kutokana na usimamizi wa bunge ni juhudi za wabunge wote kwa ujumla wao hasa wa CCM mle ndani wao ni kilakitu.
wewe na mboye akili zenu feki, mnakomaliaga ajenda zisizo na tija kwa mwananchi, mwananchi wa kule kiraracha kapata wapi tv, kule tandaimba hata umeme hakuna, badala mbowe alalamike kwa nini wanafunzi wanakaa chini, analalamikia bunge kurushwa live, mpimwe akili
Mbona ndivyo wenye akili hufanya. Kwani Bajeti ni ya Tanzania nzima, zamu hii kwako hakukuguswa pengine kwa kutokuwa na taarifa au kuna nafuu kuliko kwingine. Kwasababu unajenga hoja lazima useme kwa kadiri utakavyo shawishi serikali kukupa pesa za mradi hii haimaanishi kuwa huungi mkono.Naona unajifanya huelewi sijui kwa manufaa ya nani!Akili za wabunge wa ccm ziko hivi;
''Mh spika jimboni kwangu hakuna maji kabisa,wananchi wangu wanakunywa maji machafu kwenye madimbwi ya maji.Bajeti ya maji haijagusa kabisa jimbo langu na sijui wizara ina mpango gani kwasababu wananchi wangu wanaishi kama wanyama.Mh spika pamoja na changamoto hizo serikali ni sikivu na naunga mkono bajeti kwa asilimia 100'',makofi pwaa pwaaa pwaaa pwaaaaaaaaa,yakichagizwa na vijembe kwa wapinzani.
Hujitambui wewe.. Na huelewi bunge ni nini?wewe na mboye akili zenu feki, mnakomaliaga ajenda zisizo na tija kwa mwananchi, mwananchi wa kule kiraracha kapata wapi tv, kule tandaimba hata umeme hakuna, badala mbowe alalamike kwa nini wanafunzi wanakaa chini, analalamikia bunge kurushwa live, mpimwe akili
Tatizo akili yako imekaririshwa neno jipu kama kasuku. Maana hata pasipostahili hulazimishwa mpaka linakosa muwala wa habari.Ngoja apewe chama,nyie wenye akili ndogo mtakimbia chama.....ujumbe wako ni jipu.
Ndio maana nasema hamjui kazi za wabunge,mnasema wasishupalie kuongea bungeni eti mnataka muone vitendo majimboni.Kazi ya mbunge ni kutunga sheria,kuisimamia na kuishauri serikali.Ndio hapo tunapodai haki ya kupata taarifa za bunge kwa uhuru ili tuone wabunge wetu wanatekelezaje wajibu wao ili basi pale shughuli za maendeleo zitakapokwama majimboni tujue tatizo ni nini.Mbona ndivyo wenye akili hufanya. Kwani Bajeti ni ya Tanzania nzima, zamu hii kwako hakukuguswa pengine kwa kutokuwa na taarifa au kuna nafuu kuliko kwingine. Kwasababu unajenga hoja lazima useme kwa kadiri utakavyo shawishi serikali kukupa pesa za mradi hii haimaanishi kuwa huungi mkono.
Ajabu ni kwa wale wasio na akili wananung'unika mwanzo mwisho kisha hawaungi mkono hoja kwa maana hata hizo pesa zilizotengwa kwa wengine zisiende kisa yeye hakupata alichotaka hizi ni akili au matope?
Hivyo kuunga mkono humaanisha maliza shida za wengine ili bajeti ijayo uhudumie jimbo langu na wengine tuliokosa safari hii. Lakini kauli ya siungi mkono hoja ina maana kuwa bila kuhudumia eneo langu bora tukose wote. Na huu ni mlengo wa fikra za kipumbavu na urofa usio na kifani. Hivyo ndugu yangu badirika usiwe kama hao.
Kuwa mpole usipanicTatizo akili yako imekaririshwa neno jipu kama kasuku. Maana hata pasipostahili hulazimishwa mpaka linakosa muwala wa habari.
Akili ndogo umezipima kwa kifaa kipi? Au ndiyo nyie mmeumbwa kwa ajiri ya kumsaidia shetani kuharibu dunia?